Dagaa wa chakula cha kuku!

Dagaa wa chakula cha kuku!

Tuliwonda

Senior Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
121
Reaction score
35
Habari wadau! Wandugu natafuta informationza za soko la dagaa wa chakula cha kuku!kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa n.k. Soko lake likoje huko? Wanunuzi haswa ni kina nani? Wafugaji, watengenezaji au madalali? Wananunua kilo sh ngp? Ulipaji unakuwaje? Cash in hand or deposit advance then bal on deliver? Njaaa kali jamani tusaidiane wandugu!
 
Tshs 1900 kwa kilo, bei ya reja reja. Bei ya jumla utauza chini ya hapo. Wateja ni wafugaji, na wenye maduka ya vyakula vya mifugo
 
Habari wadau! Wandugu natafuta informationza za soko la dagaa wa chakula cha kuku!kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa n.k. Soko lake likoje huko? Wanunuzi haswa ni kina nani? Wafugaji, watengenezaji au madalali? Wananunua kilo sh ngp? Ulipaji unakuwaje? Cash in hand or deposit advance then bal on deliver? Njaaa kali jamani tusaidiane wandugu!

Vipi kwa Dar unapatikana ?
 
Kwa 1500 nitachukua kilo 200
 
Back
Top Bottom