Fremu ya biashara inapangishwa -ipo changombe jirani na njia panda sigara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fremu ya biashara inapangishwa -ipo changombe jirani na njia panda sigara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbwambo, Oct 8, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Napangisha kwa mkataba wa miezi sita, na kodi kwa mwezi ni tshs. 100,000/=, ina tiles ndani ya chumba na nje ya kibaraza. Ina mlango wa kioo wa kuslide
  ipo mtaa wa changombe inatazama bara bara kubwa.
  Wasiliana nami kwa kupata maelezo zaidi.

  simu no: 0713 68 96 65
   
 2. grndossy

  grndossy JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Barabara Chang'ombe maeneo gani?
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Cahngombe road ini bara bara ambayo inatoka kuanzia kwenye Maeneo ya VETA mpaka unakuja kama unakwenda uwanja wa TAIFA Huendi na njia inayokwenda huko unakata kulia sasa kama unakwenda Tandika maana kama unatumia Bus utapanda magari ya Tandika na Temeke kupitia hiyo bara bara ya changombe
  Ninadhani nimekulewesha ni jirani na KEKO lakini eneo linaitwa Changombe na inatazama changombe road
  KARIBU
   
Loading...