Nauza nyumba kwa unavyoiona kwa bei nzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza nyumba kwa unavyoiona kwa bei nzuri

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Oct 5, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hii nyumba ipo mbagala chamazi. ipo ktk eneo salama kwa makazi ya watu . kama utanunua kama ilivyo utauziwa Tsh. 25m na kama utataka ikamilike kwa kila kitu utauziwa 35m.
  nyumba ina vyumba 4 vya kulala kimoja master, jiko na sebule, ina jiko la ndani na la nje na choo cha nje na ndani . tuwasiliane 0657 145555, 0655 278 278 na 0755 099 291

  DSC00233.JPG
   
 2. A

  Akiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Pia ipo nyingine kama hiyo inauzwa 18m
   
 3. comred

  comred JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 1,392
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  ongeza pic to convice more
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  sawa mkuu nitaongeza , na hiyo nyumba tayari imewekwa geti na nondo madirishani
   
 5. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Ina fence na gate?? Kiwanja ni cha ukubwa gani?? Hapo nyumbani panafikika kwa Fuso??
   
 6. g

  geophysics JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapa sio mahali pake wewe...acha ku abuse jukwaa letu..... Harafu wahakikishie kuwa milipuko ya mabomu haitatokea teka maana kuuza nyumba kwa bei hiyo...bila kuangalia risk part of neighborhood si sawa.
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nyumba za Mbagala wakati mwingine kama zina mgogoro wa Ardhi usije kuta watu wanalawitiwa wakillala humo......
   
 8. A

  Akiri JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kiwanja ni cha sqm 650 , hii nyumba imezungushiwa ukuta na kwa sasa imewekwa geti sehemu ya kuegeshea magari na fuso inafika bila shida kwani wakati wa ujenzi fuso zilikuwa zinaleta mchanga
   
 9. A

  Akiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  sika hakika sana na uweledi wako ni pia natilia shaka ubongo wako, na abuse jukwaa ki vipi? hili jukwaa la kwenu kivipi? we kwenu we na wazazi wako au? hii ni sehemu ya matangazo madogo madogo.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,256
  Likes Received: 21,956
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kuuza nyumba, usiishie tu kusema ohhhh ina vyumba vinee, choo cha kulala etc
  Tunataka kujua iko sehemu gani, je ni bondeni, je kiwanja kimepimwa, je kuna huduma za maji na umeme?
  Je ni eneo halali la makazi?
  Tunaomba maelezo ya kina tafadhali.
   
 11. A

  Akiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu inaonesha wewe ni mzoefu wa kulawitiwa. mbagara kuna wananchi wengi sana wanaishi kama wewe ulilawitiwa mbagara haina maana kwamba eneo lote liko hivyo . na inawezekana mi nandika hapa lakini wewe kuna mtu anakulawiti huko uliko na ni eneo tofauti kabisa na mbagara,.
   
 12. A

  Akiri JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  nyumba ipo eneo salama kwa maana kwamba ni eneo la makazi. umeme na maji vipo. chamazi hakuna mabonde mkuu. hii nyumba ipo karibu na barabara ya lami iendayo uwanja wa azam. nyumba ipo wilaya ya Temeke , mbagara chamazi eneo linafikika kiurahisi .
   
 13. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,256
  Likes Received: 21,956
  Trophy Points: 280
  Eneo limepimwa? Lina hati?
  Kama halijapimwa je lina Leseni ya makazi?
  Ukivijua hivi ni rahisi kumshawishi mteja anunue.
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,647
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  Mh imejengwa kizamani mno...
   
 15. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Akiri nakuheshimu sana nakuomba umtake Mtambuzi radhi kwa maneno hayo namheshimu sana huyu mtu pliz mtake radhi mtu kuuliza sio ujinga haya mambo yapo kwenye society na yanatokea so ni moja ya preucation!
   
 16. A

  Akiri JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  eneo halijapimwa ila lina leseni ya makazi
   
 17. A

  Akiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sawa mkuu namtaka radhi lakini namuomba awe anachagua maneno. kwa mfano maneno ambayo yamekukera sijayatamka mimi yeye ndiyo kayaanzisha. mi mwenyewe kanishangaza maana hata mimi namuheshimu . huwa mtu anajibiwa kutokana na uulizaji wake mtu akiuliza kiugwana hujibiwa kiungwana . NAMWOMBA RADHI PAMOJA NA WENGINE WOTE
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Utaambiwa haijakamilikaa,Utaambiwa haina lipu,utaambiwa haina umemeee eheeeee kuwa na subira.
   
 19. u

  ureni JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Acha upuuzi Amsterdam haya mambo unasema yako yameshamtokea nani?au wewe?acheni uzushi.Nilikueshimu kwa hilo jina lako kumbe una uswahili kihivyo?
   
 20. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sasa ngoja nikupe mfano halisi kuna sehemu moja mji wa kigamboni miaka ya nyuma sana wakati natafuta sehemu yakupanga nyumba maana nilikuwa nafanya kazi hapo posta ,nilikutana na dada mmja ambaye ni rafiki yangu nikamweleza kuhusu natafuta nyumba yakupanga maeneo ya feri just ukivuka tu,cha kwanza aklinionya nakuniambia hizi nyumba usipange kuna haya mambo kuwa wote wanaoishi pale wanalawitiwa usiku hata watoto wadogo,narudi kwa mtoa mada Akiri najua anaufahamu mji wa kigamboni vizurisana unapafahamu pale kwa dr bajaji oposite palikuwa panajaa maji sana sasahivi wameweka kamtaro kanasaidia saidia pale kuna kama uwanja uwanja hivi na nyumba 2 hazikaliki na ni nzuri tu na inaonyesha zilitumika kidogo sasa pale ndio mchezo huo mpaka watu wakakimbia na nyumba zinaharibikia pale,haya mambo yako mkuu wangu na kabla hujanunua onea na wazawa kwanza dunia ina mengi hii mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...