Nyumba inapangishwa - Tabata Kimanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inapangishwa - Tabata Kimanga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kabachubya, Oct 2, 2012.

 1. K

  Kabachubya Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nyumba inapangishwa tabata kimanga karibu kabisa na kanisa la KKKT Kimanga.

  Ina vyumba viwili vya kulala, sebure, jiko, choo na bafu. Iko ndani ya uzio wa ukuta. kwa wafugaji kuna kibanda cha kuku na mbwa kwa wenye mbwa.

  Bei ni Tshs 200,000 kwa mwezi.

  Kwa mawasiliano 0713 123464 au 0762 101178
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  weka picha bana kuna visimu vya wachina vingi siku hizi
   
 3. K

  Kabachubya Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Picha ndio hizo hapo,natumaini zitakupa picha.
   

  Attached Files:

 4. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Nimeaangalia hizo picha kuna milango miwili ya nje,nyumba ni ya kuishi familia mbili?
   
 5. K

  Kabachubya Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hapo ni familia mbili, kila mmoja na luku yake maji ndio mnatumia pamoja.
   
 6. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Very interesting... Kuna nyumba ya 200,000/= kwa mwezi, Dar?
   
 7. K

  Kabachubya Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Ndio hivyo , tena kodi unalipa ya miezi 6 sio mwaka mzima.
   
 8. Hamiyungu

  Hamiyungu JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 342
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  ungepiga picha kuonyesha ukubwa wa sebule na vyumba ingekaa vzr sana,ukubwa wa chumba ni muhimu sana,mazingira ya nje pia ni mazuri.
   
Loading...