Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nimetumia 6 months, haina dosari, bei 60,000 tu. Contact 0714-408238.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu habari,nina vyombo vyote vinavyohusu biashara ya chips,nipo dar na vyombo vyenyewe vpo dar,vitu ni kama kabati,majiko mawili moja la pumba lngne la mkaa,na jngne la kuchomea mishkaki,pamoja...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenye simu ambayo ni smartphone ya ukweli aina yoyote ila bei nafuu isizidi 200000. Alienaye anicall au sms. 0713807758 au 0784838036. Niko serious!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangaza Marketing Solutions(TMS): Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions: Pia ni wakala wa Renew Earth Technology(RET) kwa ajili ya kutoa huduma ya ulinzi wa simu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya saa hii wana JF, Aisee mi natafuta trekta complete yaani ikiwa na tela na jembe. Nlipita suma jkt wakaniambia mzigo umekwisha hadi february. Wadau kwa anaejua wapi zinauzwa mpya au used...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninahitaji haraka spacio new model yenye hali ya kuridhisha.Nipo serious kabisa na offer yangu haizidi 9M.Kama unayo wasiliana nami kwa namba zifuatazo:0714652377 au 0768224663.
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Niwekeeni hapa contact zake tafadhani nina bonge la deal nataka kumshirikisha..........
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza. Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Nahitaji fundi wa kunifanyia wiring kwenye kanyumba kangu kapo salasala, kama wewe ni fundi wa umeme au kama unafahamu fundi mzuri wa umeme tafadhili niambie au niPM contanct zako/zake
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Natafuta machine za kutengeneza mikate,mpya au zilizotumika. 1:Oven ya umeme au gas. 2:mashine ya kukanda unga. 3:mashine ya kukata mikate. 4:Na kama zipo tools za aina nyingine za...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
mkaa mzuri unapatikana gongo la mboto kwa bei cheeee. kiroba cha kilo 25 kwa tshs. 12,000 tu na kiroba cha kilo 100 kwa tshs.35,000 tu BILA USAFIRI. UNAJITEGEMEA USAFIRI. Namba ya simu0717039283
1 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau chumba kimoja kwa ajili ya ofisi au biashara kinapangishwa bei ni shs 150,000/= kwa mwezi,kodi inapokelewa ya mwaka...kwa mawasiliano piga 0756 090222
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza moderm mpya ya zantel nimetumia mara moja tu ile ofa yao ilipoisha kwa bei ya punguzo ya 25000/= Au kubadilishana kwa universal modern inayotumia line zote za simu PLEASE PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina kakamera changu sony handcam kamekatika mkanda wa scrin yake nikatumia vlc nayo imekata sasa haionyeshi kitu kabisa ila inarecodi haina hata miezi 6 tangu ninunue
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wandugu nahitaji kununua Wi-Fi SD Card kama hii hapa chini kwenye picha Wapi nitapata jamani?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunauza nondo na vifaa vingine kama angle iron kwa jumla na rejareja. Bidhaa zetu ni za ubora wa hali ya juu,tupo kinondoni morocco karibu na jengo la airtel,pia warehouse zetu zipo mbagala. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hello wadau, Kutokana na shida ya ghafla inayonikabili sina jinsi ila kuuza kiwanja changu maeneo ya Goba-Kinzudi karibu na shule ya Rightway international School kimefanyiwa survey na kina block...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Gari Tajwa hapo juu inahitajika haraka sana. Budjet ni 14m isizidi 72km. Dar es salaam ndio inako hitajika. Kama uko na gari hii tafadhali wasiliana kwa mail hii ford_298@hotmail.com Wasalaam...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu nipo dar. Unataja aina gani na bei yake. Asante
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…