Natafuta trekta

Natafuta trekta

Ochutz

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
465
Reaction score
106
Habari ya saa hii wana JF,
Aisee mi natafuta trekta complete yaani ikiwa na tela na jembe. Nlipita suma jkt wakaniambia mzigo umekwisha hadi february. Wadau kwa anaejua wapi zinauzwa mpya au used kiasi nitashukuru.

natanguliza shukrani za dhati.
 
Mkuu tractor ziko aina nyingi sana, unataka aina gani?
 
Back
Top Bottom