wanajamvini viwanja 20 viko sehemu moja,vinapatikana luchelele karibu na kwa mkurugenzi,Vimepimwa na vimetengwa kwa makazi ni vizuri kabisa,documents zote zipo,anahitajika mteja wa haraka...
Nahitaji chumba kimoja cha kupanga maeneo yoyote ya jiji la Dar es salaam yenye sehemu tulivu. Kodi 30,000 kwa mwezi na nitalipa kodi ya miezi 6 ili kuangalia mazingira kwanza. Mwenye nacho...
Asanten xana wadau kwa msaada mlonpa kutft zle cm nyngne nilzpata bt kmtaamtaa
XAXA LILILOKUBWA KUNA M2 WNG ANATAFUTA NOKIA N97 NAOMBEN MNISAIDIE NA HILI WKT KDOGO KIDOGO NAENDELEA KUTAFUTA...
Natafuta Ipod ambayo inafunction fresh na iko katika hali nzuri. Bei ni maelewano na itategemea na condition ya bidhaa yako ilivyo. PM fast kama uko interested.
Nokia X201 inauzwa bei poa Tsh. 110,000/=
Simu ina camera, EDGE class 32, Bluetooth, memory card slot up to 16GB, QWERTY keyboard. Wasiliana nami +255716300091/+255753686485
Mambo vp wana JF?
Nauza Duet Cc 900, ODO 68,700 kms iko kwenye ubora. Bei ni Tshs milioni 5.5 tu.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba; 0717 123464 au 0762 101178.
Karibuni sana.
Kiwanja kina sqm 1,500
kina hati tayari , kipo pembeni ya barabara
kipo gezaulole ,kigamboni ni km 17 toka feri
sehemu hii ina viwanja 2 vinavyopakana hiki cha super market kinapakana na cha kituo...
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
1. Sinza
2. Kinondoni
3. Sayansi
4. Makumbusho
5. Mikocheni
Iwe ina sitting room, bed room, jiko, choo, na ka store kadogo.
Bajeti yangu ni kati ya...
NIAJE WANA JAMII!
Computers (dell) zipo sokoni kwa yoyote mwenye kuitaji. Ni desktop na zinaenda kwa 300000/- kwa set ; yan (CPU, MOUSE, KEYBOARD,FLAT PANEL SCREEN)
Feel interested...
Salaam zenu wadau, ngependa kujua kama kuna uwezekano wa kupata hii samsung s3 kwa bei nafuu na wala sichagui rangi...mnaweza kuni PM au 0712859798
Ahsanteni kwa ushirikiano
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Hijakamilika ina vyumba vya kulala vitatu, jiko, sebure na sehemu ya meza ya chakula. Ukubwa wa kiwanja mita 25 kwa 30. Bei 35mil. kwa maelezo zaidi piga simu 07171114409
320 gb hard disc
2.5 ghz processor
2 gb ram. Bei ni 520,000/- zipo kibao, ni mzigo kutoka dubai unapitia zanzibar ndomana bei yake ipo chini. Kama upo interested ni PM
Habari wana jamii wenzangu!? Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Kijitonyam au Makumbusho.
VIGEZO:
1.chumba na sebule na choo ndani,ikiwa na kispace cha jiko ntafurah zaid
2.kiwe ndani ya...
Ndugu yangu anatarajia kuja kutembea Dar kikazi. Atakuwa Dar Kati ya tarehe 1.12-10.01.2013. Kwa mwenye apartment au nyumba ambayo IPO furnished aniPm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.