RAV 4 short chasis inauzwa kama inavyoonekana kwenye picha
In a good condition, no technical problem
Millage : 235,000 km
Year of Man: 1994
Transmission: Manual
Price : 6.5 m
wajameni nibanwa kuna nyumba nimeshindwa kuimalizia ujenzi wake iko kwenye lenta iko Arusha maeneo karibu na fire mtaa wa jaluo ccm jirani kabisa na kwa malai freight.
Ina vyumba vitatu na...
Tunauza nyumba za kuanzia 17m - 7bn, nyumba hizi zipo masaki , obey, mikocheni, mbezi beach , mbezi ya kimara , kawe nk tunazo nyumba mpya na chakavu. utatujulisha aina ya nyumba unayotaka then...
Wasalaam WanaJF,
Ninahitaji eneo la kupanga kwa ajili ya ofisi hapo Moshi Mjini;
1. Eneo lenye ukubwa usiopungua mita za mraba 200 (200sqm)
2. Liwe Sakafu ya chini (Ground Floor) - linaweza...
Medium density residential plot size 690 sqm with a partially developed residential bungalow completed up to ground slab level and a screen/boundary wall erected around the entire plot, which were...
Habari za sasa hivi wadau naombeni msaada kwa yeyote anayemjua fundi anayeweza kufunga dish naombeni msaada wa mawasiliano nimeuziwa na mtu dish la DSTV nimechoka kuangalia mpira kwenye bar nataka...
Sony dsc-t77 10.1 mega pixel carl zeissNauza Sony Camera ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Isipokuwa inayomichubuko kidogo katia body tu na sio screen lakini haina kasoro katika...
Kwa mlioko dsn naomba mnijuze bei za pikipiki aina ya honda used cc 90 ni bei gani.hizi ni maarufu kwa jina la honda zenye kikapu mimi nipo interior najikusanya nasikua zipo nyingi sana...
kipo mwananyamala karibu na baa ya roya, ukubwa ni 80 kwa 60, kipo mita mbili toka barabarani, umeme na maji vipo kama mita moja na nusu, kuna banda moja watu wanaishi, bei milioni 90. Dalali...
Jiko na mixer ya bakery zinauzwa
Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote...
Nauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi matukio ila utakuwa na uwezo wa...
Viwanja vizuri vinauzwa eneo la Kibamba Dar es Salaam
Picha hapo chini zinaonyesha sehemu ya viwanja hivyo na nyumba zinazoonekana ni majirani.
Ukubwa mita 25 kwa mita 30 Shs 8.5m,
Ukubwa mita 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.