Wafasiri wanahitajika - Translators are needed

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,590
Ninatafuta wafasiri wa lugha za Shona<>Kiingereza, Ndebele<>Kiingereza na Oromo<>Kiingereza, yaani kutoka na kwenda Kiingereza.

Ikiwa wewe unaelewa angalau moja ya lugha hizo na/au kama unamjua mtu anayezielewa kiasi cha kuweza kutafsiri, tafadhali wasiliana nami kwa maelezo zaidi. Ni mradi wa muda mrefu na pesa inaridhisha sana (wastani wa USD 30 kwa kila ukurasa mmoja wa maneno 450-500).
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom