Kama kichwa cha habari hapo juu nipo dar. Unataja aina gani na bei yake. Asante
stevoh JF-Expert Member Dec 5, 2011 2,921 1,102 Dec 5, 2012 #1 Kama kichwa cha habari hapo juu nipo dar. Unataja aina gani na bei yake. Asante
yaser JF-Expert Member Jan 23, 2012 1,362 298 Dec 5, 2012 #2 hii inyokuandikia ni e5 inauzwa laki na nusu mwisho kabisa ni 1.5.ukihitaji nipm nko dsm
yaser JF-Expert Member Jan 23, 2012 1,362 298 Dec 5, 2012 #3 hii inyokuandikia ni e5 inauzwa laki na nusu mwisho kabisa ni 1.5.ukihitaji nipm nko dsm "the hot city"
hii inyokuandikia ni e5 inauzwa laki na nusu mwisho kabisa ni 1.5.ukihitaji nipm nko dsm "the hot city"
Architect E.M JF-Expert Member Nov 15, 2010 1,167 1,099 Dec 5, 2012 #4 nokia e7, ipo kwa 500,000/- tshs.... Used for two months, silver in colour... Pm if intrested