fundi Umeme anahitajika!

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Nahitaji fundi wa kunifanyia wiring kwenye kanyumba kangu kapo salasala, kama wewe ni fundi wa umeme au kama unafahamu fundi mzuri wa umeme tafadhili niambie au niPM contanct zako/zake
 
Nahitaji fundi wa kunifanyia
wiring kwenye kanyumba kangu kapo salasala, kama wewe ni fundi wa umeme
au kama unafahamu fundi mzuri wa umeme tafadhili niambie au niPM
contanct zako/zake

mtafute huyu anahitwa deo 0783150727
 
Mkuu nimeku PM. Mimi ni fundi umeme na namba zangu za simu hizi hapa: 0787577755, 0767577755 na 0717577755.
Nahitaji fundi wa kunifanyia wiring kwenye kanyumba kangu kapo salasala, kama wewe ni fundi wa umeme au kama unafahamu fundi mzuri wa umeme tafadhili niambie au niPM contanct zako/zake
 
Back
Top Bottom