Nakodisha vyombo vya biashara ya chips

Nakodisha vyombo vya biashara ya chips

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
wakuu habari,nina vyombo vyote vinavyohusu biashara ya chips,nipo dar na vyombo vyenyewe vpo dar,vitu ni kama kabati,majiko mawili moja la pumba lngne la mkaa,na jngne la kuchomea mishkaki,pamoja na flypan 2,kalai la kukaangia viaz,sahan na umma,midenge ya kuchomea nyama,ni PM.tuelewane bei.
 
Mi nataka uniuzie hivo vyombo, kama upo sawa ni pm
 
jaribu kuweka terms & condition, pamoja na bei labda nnaweza kuwa interested
 
Hapa nadhani si pake. Siamini kama wana JF bado ni wachovu kiasi cha kushindwa kununua hivyo "vifaa". Hata hivyo mnachekesha.
 
Back
Top Bottom