Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndugu nina HTC desire nauza laki 5, ina crack katika screen kidogo
0 Reactions
5 Replies
870 Views
Gari aina ya Isuzu Trooper yenye namba za usajili T.133 BQK inauzwa..! Gari iko Kunduchi Dar es Salaam..! Ni Manual Mwaka 1997 Seven seats 3.1 CC Bei ni 17.5 M ( Maelewano yapo) Kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani naomba kujua bei ya bati za simba za araf geji 28 kwa kiwandani zauzwaje kwa jumla na wanauza kuanzia ngapi....?
0 Reactions
8 Replies
13K Views
Del Benman(T)ltd ni kampuni yenye Architects,Civil & Electrical Engineers na Quantity Surveyors ambao wanatoa huduma za Archtectural designs,structural designs,electrical designs,cost...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
WHAT UNBELIEVABLE PRICE!!! A three bed-roomed house including a self contained master bedroom standing on a land of 1200 sqm is on immediate sale! This home which requires minor remodeling and...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta soko la asali kwa wakazi wa mikoa ya morogoro, dareslam na pwani.... Napatikana SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE.... Email:ismailerick@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
995 Views
ps3-320GB good condition one controler free cd of your own choice (550,000) psp-16GB,white goood condition charger free games (7). (300,000) contact me thru: 0656211999 atakaye...
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Good People, Awali ya yote nawashukuru Nyote kwa michango yenu. Nataka kufanya subscription ya kuwa napata gazeti la serikali (Government Gazette) kila linapotoka. Je, kuna mtu anaweza kunijuza...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
KUNDUCHI BEACH HOME FOR SALE!!!! All three bedrooms are self contained with excellent designs on a land of 1200sqm! Work to Kunduchi Beach Hotel and enjoy the beach ambience from this property in...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Toyota Verossa For sale. Iko kwenye very good condition no dent or body paint. Mileage: 72,500Km Year: 2002. Engine size: 1988cc Color: Silver. Bei: 18M Kwa anaye hitaji please contact...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nokia 5130c-2 ina function vizuri bado ina muonekano mpya ime2mika miezi 2. Ina charger yake. Bei elfu 95. Nauzia shida ya kuongezea ada yangu. Namba 0713 522353
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Good condition 16gb internal... Ice cream sandwich..... Bei 750.... Exchange pia zipo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Nauliza kama kuna mtu anajua nani ni dealer wa magari aina ya kia hapa tz au kama spea za magari ya kia zinapatikana tz?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KIWANJA KINAUZWA sqm 2009 kina hati kipo kwenye kona , Kinapakana na viwanja vya viongozi wa serikali Tayari ujenzi unaendelea ktk maeneo jirani kinauzwa 72m kwa melezo zaidi km kuonana na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
tangazotangazo pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji)aina ya tvs king inauzwa.imetumika kwa mwaka 1 na miezi 3, iko katikahali nzuri.bei tsh 3,600,000 – mazungumzo yapo.piga simu: 0755252263
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Gari lipo katika hali nzuri,ina marekebisho madogo sana. Bei ni Tsh Mil 8.5 tu mazungumzo yapo. 0717 424601
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni aina Ya Toyo 200cc Halijatumika kwa biashara toka linunuliwe lina mwez mmoja tu.. Limeshasajilwa na lina namba mpya Sababu ya kuuza ni mmliki kuhama kikazi. Lipo yombo vituka.. Bei yake ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji kiwanja cha kujenga nyumba, sqr meter 20 x20, vinapatikana maeneo ya Goba, vipo maeneo mazuri na vimenyooka (havina mabonde) bei iko poa sana. 3.5M. Piga 0717329166
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wana jf ninauza gari yangu double cabin 2.8, manual, 4wd , nyeupe, bei 10ml inapungua. Ninasha ya pesa kwa haraka gari ni zima kabisa halina tatizo unarusiwa kulitest hata safari ndefu...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Gari linauzwa Toyota Mark II dark blue bei poa na lipo kwenye hali nzuri sana. Bodi yake bado iko kwenye hali nzuri sana pia ndani ni safi na ina viti vya leather rangi nyeupe. Maelezo ya gari kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom