Nauza mayai ya kuku

Nauza mayai ya kuku

freemoney

Senior Member
Joined
May 21, 2012
Posts
109
Reaction score
6
Habari wana jamiiforum, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu mimi na familia yetu ni wafugaji and kwa sasa kuku wameanza kutaga kwa kasi ila soko limeyumba, so kama kuna mtu anaitaji mayai kwanzia tray 10 na kuendelea ata adi 500 na bei ni sh 6500 ila ukichukua tray nyingi tutakupunguzia bei. Unaweza kunipa taarifa au kama una sehemu una uhakika kuwa wataitaji mayai tafathali tuwasiliane kwenye 0716-369299
 
Back
Top Bottom