Vifaa au mashine za bakery vinauzwa vilivokamilika kwa kiwanda kizima

TZ biashara

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
523
107
Vifaa hivi vinauzwa kimoja kimoja na vipo DAR Ilala ama Buguruni.Kumradhi kidogo sijui sehemu yenyewe maana nimekodi duka kwa muda mfupi ili kuwepo urahisi kwa wanunuzi kwenda kuviona.Na mimi mwenyewe sipo huko ila naomba upige simu ili wakuelekeze sehemu yenyewe.Hivi vitu nilinunua Uingereza ili nifungue Bakery lakini sikuweza kuifungua kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika.Naomba upige simu no..0717810318 au 0773027777.Siwezi kuandika bei zote hapo ila utakapokwenda dukani hapo utazipata zote.Kuna vingine havipo pichani ila utaviona huko dukani.

Nauza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom