mama kokuu
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 131
- 22
View attachment 70864
toyota hilux surf. Engine 2l,manual gear+4wd. Kwa mawasiliano piga namba 0712419419
Haya mambo ya kutokuweka bei yamepitwa na wakati, Tradecarview unakuta wameweka bei eg US$ 1800, then mnaongea punguzo mpaka mnakubaliana eg US$ 1500 na kuuziana gari bila kupotezeana muda, Na hiyo Surf yako utadoda nayo kwani yanajulikana ugonjwa wake engine ni kimeo kila siku gereji kwani Mjapani alitengeneza toleo hilo akiwa usingizini...jamaa yangu aliuza Tsh 3,000,000/= kwa sababu alishindwa kutoa ugonjwa wake wa kuchemsha ambao nafikiri na wewe yamekupata
Hapana, hawezi kudoda nalo. Atauza kama chuma chakavu. Hii ndiyo njia rahisi ya kuuza hizi toyota Hilux, kama mnunuzi hapatikani.Haya mambo ya kutokuweka bei yamepitwa na wakati, Tradecarview unakuta wameweka bei eg US$ 1800, then mnaongea punguzo mpaka mnakubaliana eg US$ 1500 na kuuziana gari bila kupotezeana muda, Na hiyo Surf yako utadoda nayo kwani yanajulikana ugonjwa wake engine ni kimeo kila siku gereji kwani Mjapani alitengeneza toleo hilo akiwa usingizini...jamaa yangu aliuza Tsh 3,000,000/= kwa sababu alishindwa kutoa ugonjwa wake wa kuchemsha ambao nafikiri na wewe yamekupata