ndugu wana jf, salam
nina ndugu dada angu, amesomea mambo ya madawa, hizi kozi za tfda na anauzoefu mzuri wa kuuza maduka ya madawa , kwa sasa anatafuta kazi, yupo dar na ni mchapa kazi
kwa...
wana jf nauza kiwanja milion 3, ukubwa hatua 20 kwa 20. kipo mabwepande karibu na ofisi ya serikali za mitaa. mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa simu namba. 0713126942
Habari,
Nina mashamba na viwanja vilivopimwa maeneo ya kigamboni kwa bei ya kuanzia milioni nne kwa mashamba ya kuanzia heka moja (bei inazungumzika) NA kwa anayetaka viwanja vyenye hati...
Wna JF nauza scania 124/360 , bei mil. 52 lakini mtu kama yupo tayari anaweza kutoa advance nusu na nyingine akawa analipa kidogokidogo.
kwa maelezo zaidi ni PM
Jordan Express Co LTD offers an express parts service and can delivery almost anything within a few days to anywhere in the world.
We have direct access to all of the major manufactures parts...
msaada kwenye tuta wandugu!
Nina haraka ya kufix alminium kwenye madirisha yangu....nimeambiwa kuna wachina wanapiga kazi balAa tena kwa bei rahisi...anybody with their contacts???
Hii ni moja ya Camera ambayo inasifika na hutumika sana hasa wanaoendesha shughuli za habari kwenye studio's.Quality picture yake ni nzuri sana.Nitawaletea spec's zake baadae na ipo njiani kutokea...
Mixer iliyotumika Uingereza kubwa kiasi labda kutosheleza kiroba cha unga inauzwa milioni 3.5.Ipo dukani Ilala na kwa maelezo zaidi au kuiona tafadhali piga namba hizi...0773027777 au 0717810318
Jiko linauzwa milioni 3 limetumika na lipo katika hali nzuri.Jiko hili linatumia Gesi lakini vilevile linahitaji umeme kwa ajili ya kuwashia tu yaani swichi yake inatumia umeme lakini matumizi...
Kuku wa Kienyeji wakubwa wanapatikana kwa 12,000 tu, ukitaka mzima au aliyechinjwa vyote tunafanya, unaweza kutoa oda yako kupitia 0717-066624 au katika mtandao wetu bid or buy - Tanzania
Furahia...
nauza computa hp flat sceen pentium m imetumia miezi8 iko safi sana orignal ipo sawa na zinazotumika crdb benki natoa garantii mwaka mzima bei laki 3 mawasiliano email lufisakumtoni@yahoo.com
Nauza mayai ya blue yanayotibu kisukari presha na magonjwa ya moyo pia mjasiriamali anatakaiwa kufuga hawa kuku mayai yake ni gali sana huuzwa mpk 5000/= number yangu ni 0757662401
computa inauzwa hp desktop hp pentium m flatsceen iko kwenye hali nzuri sana galantii natoa mwaka moja mi nimetumia miezi6 tu bei yakuuzia laki3 mawasiliano yakunipata e-mail magovela90@yahoo.com...
nawahitaji walili wasiwe wadogo........umri chini ya miezi minne ningewapendelea zaidi...kwa atakae kuwa nao tuwasiliane kwa namba ifuatayo kuzungumzia namna biashara inavyoweza kufanyika na bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.