Natafuta dog trainer

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,058
173
Habari wadau!

Tunatafuta DOG TRAINER kwa ajili ya kuwafundisha mbwa (Basic Training: Obedience, Guarding and Agility)
 
Kireka1980

JF-Expert Member
Mar 18, 2008
303
42
mkuu nina jamaa zangu wanatrain wanatoka kitengo cha polisi na farasi kurasini mimi wamenifanyia kazi nzuri sana ni pm
 
Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,404
mkuu nina jamaa zangu wanatrain wanatoka kitengo cha polisi na farasi kurasini mimi wamenifanyia kazi nzuri sana ni pm

nimewahi kwenda pale, wakawa wanakuja home askari 2 kumpa mafunzo mbwa 1 kwa muda wa mwezi 1 mbwa hajui

kitu wala sijaona mafunzo ya maana waliyotoa, ikabidi niwastopishe, askari wa bongo ni full usanii
 
MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,095
Kwa hilo ucjal kuna jamaa anaitwa singaile kabobea sana na ndo kazi yake inayomuweka mjini yupo tazara. Kaisomea kazi hyo na ana jihusish na uuzaji wa mbwa.ukufika kwake bila shaka utathibitish ninayoyasema.wateja wake mara nyingi ambao humpelekea mbwa kwa mafunzo ni wahindi. Ka vp tuwasiliane ili nikudirect kwake.0682812668
 
Kireka1980

JF-Expert Member
Mar 18, 2008
303
42
nimewahi kwenda pale, wakawa wanakuja home askari 2 kumpa mafunzo mbwa 1 kwa muda wa mwezi 1 mbwa hajui

kitu wala sijaona mafunzo ya maana waliyotoa, ikabidi niwastopishe, askari wa bongo ni full usanii
mkuu usisahau kuwa inategemea na aina ya mbwa, kuna baadhi hawafundishiki
 
bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,058
173
Sasa naona wewe mwenyewe unaitwa "SINGAILE" na huyo Dog Trainer naye anaitwa "SINGAILE" hii imekaaje mkuu? Au wewe mwenyewe ndiyo Singaile? Tafadhali ni-PM basi kwa mawasiliano zaidi! Hi namba ya Singaile tayari nimeisave

Kwa hilo ucjal kuna jamaa anaitwa singaile kabobea sana na ndo kazi yake inayomuweka mjini yupo tazara. Kaisomea kazi hyo na ana jihusish na uuzaji wa mbwa.ukufika kwake bila shaka utathibitish ninayoyasema.wateja wake mara nyingi ambao humpelekea mbwa kwa mafunzo ni wahindi. Ka vp tuwasiliane ili nikudirect kwake.0682812668
 
bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,058
173
mkuu usisahau kuwa inategemea na aina ya mbwa, kuna baadhi hawafundishiki

Yeah, lakini mimi pia niliwahi kufundishiwa pure GS, jamaa (Polisi) walikuwa full sanaa na maneno yao meeengi kuwa wameenda South Africa etc...at the end of the day nothing happened! Tamaa inawaumiza, utakuta mtu yupo kazini and then anakuwa ana tenda kama 6 za kufundisha mbwa...au hata zikiwa 3 unawezaje kuzitekeleza?? Kweli kuna watu ni full sanaa
 
bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,058
173
nimewahi kwenda pale, wakawa wanakuja home askari 2 kumpa mafunzo mbwa 1 kwa muda wa mwezi 1 mbwa hajui

kitu wala sijaona mafunzo ya maana waliyotoa, ikabidi niwastopishe, askari wa bongo ni full usanii

Nakubaliana na wewe; kuna mmoja alinizengua miaka mitatu iliyopita, hana lolote! This year tena nikawa natafuta trainer, akapata habari, akaja home, hakujua kama ni same guy (nilihama makazi), tulipokuitana naye uso kwa uso mwenyewe akaona aibu! Nikamwambia yule aliyemleta kama ni huyu hamna shida, mwenyewe anajua kuwa simhitaji hapa....
Jamaa lisepa kimya, so ni kweli mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom