Natafuta Apartment ya kuishi Arusha au Arumeru- Bei isizidi Laki na Nusu kwa mwezi.


TheTruth

TheTruth

Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
29
Likes
0
Points
0
Age
98
TheTruth

TheTruth

Member
Joined Apr 1, 2012
29 0 0
Maeneo yote ya nje ya mji wa arusha are great, ikiwa maeneo ya arumeru its awesome pia ila isiwe tu maji ya chai. Apartment hiyo iwe na facilities kama maji na umeme, na iwe na 2 bedrooms na sebule, then jiko na toilets..iwe mahali secured. Natarajia kuhamia within this month. Kwa mwenye information please tuwasiliane.Asante.
 

Forum statistics

Threads 1,235,558
Members 474,641
Posts 29,226,786