Toyota Land Cruiser for Sale

Baba Mkwe

Member
Joined
Sep 25, 2012
Messages
45
Points
0

Baba Mkwe

Member
Joined Sep 25, 2012
45 0
Toyota Land Cruiser for sale
Year- 1999
km-300,000
cc-4164
Transmission- Manual
Fuel- Diesel
Last owner- WHO Tanzania

Starting price- 39.5m

Serious buyers only just PM me

Car for sale-11.jpg


Car for sale-11.jpg
 

Baba Mkwe

Member
Joined
Sep 25, 2012
Messages
45
Points
0

Baba Mkwe

Member
Joined Sep 25, 2012
45 0
Wakuu hii gari ilikuwa TZT... ikawa inatumiwa na WHO kwa miradi yake...ndio maana ikawa ina hizo DFP maana kulitoka sheria kuwa ni lazima gari zote za miradi ziwe DFP... kwahiyo mtu akiinunua anabadili from DFP to T....XXX tu. Ilishalipiwa kodi kabla.

KWa hiyo ilikuwa gari ya kawaida kabisa iliyonunuliwa kwa taratibu zote na kodi zote zililipwa.

Nafikiri Mabreka, Ginner na Newvision nimetoa ufafanuzi.

Pia hiyo ni sstarting price..

Serious buyers just PM me
 

by default

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
841
Points
195

by default

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
841 195
Uwa zinachoka sana nauakika hiyo imeshatoboa ngara,kibondo na si mara moja hapo unanunua chuma tu.mimi ipo gx inauzwa 15ml ya mwaka 1995
 

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,338
Points
2,000

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,338 2,000
Hiyo ilikuwa inafanya kazi Dar es Salaam na Tanga tu. Bado iko nzuri kama unavyoiona by default
Ndio ikapiga 300,000km kwenda Tanga tu? Kwa TZT hiyo ilkuwa kati ya 2001 na 2003

Hii hapa inauzwa CIF US$ 20,150 ex- Japan ya mwaka huohuo na iko katika hali nzuri kabisa.........hiyo bei yako iko juu sana

 

PatPending

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Messages
490
Points
170

PatPending

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2007
490 170
Kilometa laki tatu kwa HZJ105 na ya mwaka huo ni kilometa chache sana. Kumbukeni ni gari lenye miaka 13 hivi na kwa kilometa ina maana lilikuwa linatembea km 23,000 hivi kwa mwaka, ambazo ni za kawaida sana. Gari ni bado zima sana hilo. Hizo Landcruiser Standard huwa zina roho ngumu kama Hardtop tu. Mwisho wa siku linakuja suala la fedha, mwenye uwezo na kujua thamani ya chombo atakinunua tu, kwa sie wengine ngoja tuwapishe wenye nguvu.

Mkuu Safari_ni_Safari - Kuna tofauti kubwa sana kati ya cruiser uliyoiweka kwenye picha yako na hilo mdau analoliuza, tofauti inaweza isionekane kwa nje ila chini ya bodi ndio kuna kila kitu. Kwenye soko la mtumba na kwa mazingira ya Afrika, cruiser la mdau liko juu zaidi.
 

Baba Mkwe

Member
Joined
Sep 25, 2012
Messages
45
Points
0

Baba Mkwe

Member
Joined Sep 25, 2012
45 0
Safari_ni_Safari nadhani unachoongelea ni nadharia...sana, yumkini waongea bila utaalam fulani...soma vizuri maelezo ya PatPending ndio utaelewa.

Suala sio bei iko juu sana...Guys...kutoa "crushing statements" bila kutoa alternative inakuwa haina maana... umeambiwa inauzwa bei fulani...wewe unatoa comparison zako, that is fine, ila husemi kama unalitaka au la, au unataka uuziwe kwa bei gani!!!

Again, only serious buyers, PM me
 

LexAid

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Messages
1,946
Points
1,195

LexAid

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2011
1,946 1,195
Hii historia ya hili gari inanipa utata sana; to my understanding miradi yote ilisamehewa ushuru ili kupunguza gharama za uendeshaji mradi. Sioni logic ya huo mradi kununua gari lililolipiwa kodi in the first place. hapo kuna kaujanja kalifanyika na si ajabu ili ni moja ya Magari yalioibiwa na kubadili identity yake.

Wakuu hii gari ilikuwa TZT... ikawa inatumiwa na WHO kwa miradi yake...ndio maana ikawa ina hizo DFP maana kulitoka sheria kuwa ni lazima gari zote za miradi ziwe DFP... kwahiyo mtu akiinunua anabadili from DFP to T....XXX tu. Ilishalipiwa kodi kabla.

KWa hiyo ilikuwa gari ya kawaida kabisa iliyonunuliwa kwa taratibu zote na kodi zote zililipwa.

Nafikiri Mabreka, Ginner na Newvision nimetoa ufafanuzi.

Pia hiyo ni sstarting price..

Serious buyers just PM me
 

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,008
Points
1,225

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,008 1,225
I can bet on my mothers pension you will never sell the car with that price tag......... na huwezi kuwa na gari yenye namba za DFP na ikawa imelipiwa kodi........hiyo gari haijalipiwa kodi kwa hiyo mnunuzi aandae 10m nyingine ya kodi
Kitu kingine cha kushangazsa ni kuwa international instutition like WHO kuuza gari lake kwa kutangaza namna hii JF? Gari la WHO linatangazwa kuuzwa na individual? Haiingii akilini kirahisi
 

incharge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Messages
1,196
Points
1,225

incharge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2011
1,196 1,225
kitu kingine cha kushangazsa ni kuwa international instutition like who kuuza gari lake kwa kutangaza namna hii jf? Gari la who linatangazwa kuuzwa na individual? Haiingii akilini kirahisi
ni vizuri ukamuuliza muuzaji baada ya kukaa humu na kuanza kupiga majungu what about kama yeye kanunua from 'who' then analiuza, hayo masuala ya kodi mara nyingi huwa makubaliano ya muuzaji na mnunuzi,
 

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Messages
9,253
Points
2,000

englibertm

JF-Expert Member
Joined May 1, 2009
9,253 2,000
ubora wa gari ni km ilizotembea na sio mwaka iliyotengenezwa ninavyo jua mimi taratbu za kuuza gari za miradi ni kwa tender, imekuaje itangazwe humu?
 

Forum statistics

Threads 1,392,810
Members 528,696
Posts 34,118,623
Top