Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa anayeitaji tablet. Ipo ya zte picha baadaye. Bei yake 600,000/-
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau mwenye smartphone USED kwa bei hiyo....naomba ucomment hapa na nintaPM ntakayelizika na ofa yake
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu mmoja amehamia huku moshi sasa anatafuta chumba maeneo ya moshi mjini au longuo, anaeweza kusaidia katika hili naomba unopm please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ninatafuta mkopo benki kwa riba reasonable. mimi ni mwajiriwa, ofisi yetu ni ya kimataifa, ina ofisi nchi 8, ila kwa tawi letu hapa Tanzania, tupo staff 4 tu. Mkataba wangu ni...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Natafuta kiwanja ''low densinty'' wilayani kasulu,kigoma kiwe kimepimwa mwenye nacho au uelewa wowote tuwasiliane kupitia hapa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza microphone ya studio ni Condenser type BEHRINGER B1 ipo in a Very Good Condition, very good for a proffesional recording Nakupatia na Stand yake if interested check me kwa 0714 021 078
0 Reactions
0 Replies
2K Views
One storey house, with 3 self contained rooms is available for lease at Usa River (Leganga) in Arusha. The house is ideal for Office or Residential. The house has got a specious car park of 4...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Office space available in the city centre: SIZE: 24 square metres and 36 square metres RENT: USD 12 per square metre per month, exclusive of VAT SERVICE: Free electricity and Water, parking and...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Habari wana jamvi. Naomba msaada wenu kwa yeyote anaefahamu wapi kwa hapa Dar es salaam naweza kupata kampuni inayokodisha haya magari kwa ajili ya shughuli zake.Hizi gari ni tani mbili mbili.Bei...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Mtanisamehe, nimepiga picha kamera yangu imedondoka kwa maji, picha zote damaged! Ila nyumba ni vyumba vitatu, kimoja self contained, sebule, dinning, jiko na servant quarter! Iko mitaa ya nyuma...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
salamu, wadau nauza original apple iphone4, imetumika kwa wk 3,ni nzuri toka uk. serious buyer ni pm au cal.0719575791 nipo dar.BEI 350000
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Do not think that every thing is expensive in Dar es Salaam? Get what you need for life in this convenient 2 bedroom house in Bunju ‘’B’’. This small property, it is very low priced only Tshs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
16gb 150,000tzs bado mpya.
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Nahitaji hivi vitu vyote viwe vipya viwe brand new nipigiwe kupitia namba hii 0713935738
0 Reactions
0 Replies
1K Views
bei 21,000 kwa jumla. Kama unata chache kama mbili au tano ni 23,000 unaletewa ulipo piga namba 0753055509 ntakuletea popote ulipo. Pia kunagurantee mwaka mzima
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nauza regulators za kwenye mitungi ya gesi kwa bei poa. Piga namba 0753055509
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman sim ipo fresh sana sema housing ni la kubadilisha bei 80!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Anaeuza Home Theater aina yoyote na yuko Dom naomba anistue.
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Nina nokia asha 200 mwenye simu inayo sapoti whatsup tubadilishane hata na kumuongezea fedha kidogo, ikiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi
0 Reactions
0 Replies
786 Views
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA Habari wanajamii Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo: 1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Back
Top Bottom