IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Kwa wapenzi wa mashairi , burudika adhuhuri ,Kisima cha Mashairi , kitaiponya yako ngiri.
Mimi si mwanzilishi lakini Iwapo wewe ni.mpenzi wa mashairi au wataka kukuza kipaji chako ,tembelea "Kisima Cha Mashairi" kwenye facebook .
Mjulishe na.mwenzio, fikra kuzibadiri
Usiuweke uzio , mwache ale asali