Fundi wa simu kubadili lcd screen ya Nokia Lumia 800

Fundi wa simu kubadili lcd screen ya Nokia Lumia 800

Afyayaakili

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
936
Reaction score
1,302
Naweza nikapata wapi fundi wa kunibadilishia screen ya nokia lumia 800 kwa mikoa ya Dodoma,Mbeya na Dar
Contact 0757383551
 
Ombea hiyo screen iwe bei ndogo mimi niliangusha htc one..yaani screen ni dhs 1000(tsh 450000) kwa original na dhs 500(tsh 200000) kwa duplicate niloshangaa sana..ila kwa lumia 800 bei itakuwa kawaida tu
 
Back
Top Bottom