Mutensa
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 421
- 92
Nauza plot. Iko Mbezi Luguruni upande wa kushoto wa morogoro rd kama uaenda morogoro.
Specs:
a. ni kama mita 500 kutoka morogoro road.
b. lina umeme karibu
c. maji ya dawasco yako karibu
d. ukubwa 22mx44m (mita - sio miguu)
e. barabara inafika site sio kuanza kuomba kwa majirani pa kupitisha gari.
f. ni mahali muafaka kwa ujenzi wa appartment kwa ajili ya wanachuo kama unataka biashara hiyo.
Bei 30M tu.
Anayehitaji ani-pm.
Mie mwenyewe ndio muuzaji kwa hiyo hakuna hela ya udalali kwenye biashara hii.