Natafuta TENDA za miradi

Natafuta TENDA za miradi

Rock City

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,266
Reaction score
505
Heshima kwenu wadau,

Ninayo kampuni iliyosajiliwa vema kwa sheria zote za nchi tangu mwaka 2008, na inafanya kazi katika miradi midogo-midogo hususan mikoani (lake zone). Kampuni hii ni 'limited' na imekamilika katika safu zake kiutendaji, inajishughulisha zaidi na:-
1. General Supply
2. Engineering works
3. Mining Support
4. Spare parts (industrial ones)

Nimejitokeza jamvini nikiamini ni sehemu husika kwa wadau walio wengi, na kwamba kupitia hapa tunaweza kutengeneza wigo mpana katika biashara na kuikuza nchi yetu hii. Pia tunafanya shughuli zote za:
1. Marekebisho ya mitambo viwandani
2. Kwenye matenki makubwa (tunatengeneza na kuripea)
3. Tunasambaza spea zinazohitajika za mashine kubwa.
4. Kujenga mabomba/pipes za shughuli zozote etc.

Kampuni hii ni ya mzawa, na ili kupanua zaidi wigo kibiashara kwetu...kwa kila aina ya kazi tupokeayo kupitia yeyote (initiator) basi huwa tunatoa commision kwa kulingana na aina ya kazi hiyo.
Hatuchagui eneo/mji/vijiji, yaani tupo mobile kiutendaji mahala popote hususan ndani ya mipaka ya nchi yetu.
Natanguliza shukrani kwenu wadau, naomba ushirikiano wenu wa ujumla ukiambatana na mashauriano.
Kwa mawasiliano zaidi kibiashara, ningependelea zaidi ku-PM, waila kwa faida za wanajamvi mashauriano ni vema kutumia ukurasa huu ili na wengine kufaidika.
Naomba TUSAIDIANE, TUSHIRIKIANE.
 
Back
Top Bottom