Renault Megane

Renault Megane

Kana-Ka-Nsungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
2,257
Reaction score
373
Renault-Megane-Saloon-2005-1920x1080-005.jpg


Ndugu zangu wa Bongo naomba mnisaidie, Renault Megane kama hii inaweza kuuzika kirahisi huko? Spares na services zake zinapatikana kirahisi? Ikiwa manual itakuwa ni tatizo kupata mnunuzi?
 
mdau, huku kuna renault tractor heads tu, nazo ni chache sana, binafsi sijawai kuona saloon car au suv ya renault hapa dar
 
Kwa Tanzania ni Toyota tu, watu wana hamu na magari ya aina nyingine tatizo liko kwenye upatikanaji wa spare tu
 
Back
Top Bottom