Nina mgeni mfanya biashara kutoka ulaya anakuja Tz hivi karibuni, kaniulizia kama anaweza kupata bodyguard mwenye leseni na silaha. Sijawahi kusikia hii kitu Tz so kama unafahamu nielekeze.....
Sasa hivi imeboreshwa zaidi kwa kuwekwa TILES
Nyumba hiyo ina sifa zifuatazo:
-2 Master bed rooms
-Wide Sitting room
-Dinning Room
-Kitchen
-Store
-Public Toilet
-Fence
-Maji
-Tiles
-Umeme wa...
Anaitwa Dr sospeter Majala, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 20, Anatibu magojwa mbalimbali isipokuwa ukimwi na TB. Wasiliana nae kupitia No 0769293026, atakusaidia baada ya kueleza matatizo yako.
ipo Dar es salaam, gari ipo katika hali nzuri sana. imetembea km 130,000 tu
haijawahi kuguswa injini.
bei maelewano.
mawasiliano 0754403356 au 0752555055
Waungwana,
Natafuta MSOMI, aliye ndani ya nchi - Tanzania - anayejua Kifaransa, KINAGA UBAGA. Kuna kazi ya kufanya translation, highly technical document, kutoka Kiingereza kwenda Kifaransa...
NIKON D40 SLR 6.1 megapixel ,na NIKON D50 SLR 10 megapixel na Panasonic lumix pia ipo NEC PROJECTOR bulb yake ina masaa marefu complete ZOTE ZIPO DAR .bei maelewano piga simu 07112652110 ,
Wakuu habari! Nna xbox 360 inatatizo la hardware obviously mana ile ring inawaka rangi ya red... Sasa kama kuna mtu anajua how to fix it anambie ama kama kuna fundi lkn kwa instant service pia...
habarin wana Jf.
nina gari yangu Chaser avante gx100.
manufacture year 2000.
reg: T.....BDU
engine 1G vvti.
cd.dvd.TV player & Navigator.
Imported in 2010.
Ipo katika hal nzuri.ipo...
1. Shamba la ekari 20 linauzwa lipo visegese kisarawe- ni km 7 toka kisarawe mjini. Bei ni Mil 15 kwa hizo ekari 20. Kuna mto unapita shambani panafaa pia kwa kilimo cha umwagiliaji.
2. Pia kuna...
Habari za weekend poleni na majukumu, natafuta mtu wa kufanya nae biashara ya hoteli karibu na stend mpya ya mabasi yaendayo mkoani kwa aliyetayari aniandikie kwa email kyelilucas@yahoo.com
Habari ndugu wana JF,
napenda kuwataarifu ndugu zangu hpa jirani yangu kuna nyumba nzima yenye vyumba 5 parking ya gari ndani kodi ni laki sita kwa mwezi. ipo magomeni moroco hotel karibu na...
Noah ya mwaka 2000
vibali vyote vimelipwa bado bima ( inasurance)
imetembea km 125,000
inapatikana kinondoni 0657 145555 au 0772 00 8866
ina A/c cd player n.k
bado nashughurikia vibao vya namba.
Habari wana JF!
Kuna nyumba inapangishwa jijini Arusha.
Nyumba hiyo ni mpya kabisa, ikiwa na vyumba viwili vya kulala(kimoja masterbed room), sitting room, dinning room, kitchen, public toilet ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.