Ninauza vitabu katika mfumo wa sauti/audio books

Ninauza vitabu katika mfumo wa sauti/audio books

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Wakuu, Habari za wakati huu.

clip-art-listening-to-music-082795.jpg

Ninauza vitabu katika mfumo wa sauti (audio boos). Vitabu katika mfumo wa sauti ni vitabu kama vitabu ambavyo unavisoma kwa kusikiliza kitabu ama katika radio, tv, simu, computer na audio readers devices yingine nyingi. Uzuri wake ni kuwa si lazima uwepo darasani ili upate somo, kwa muda wako unachagua topic na kuisikiliza usipoelewa unai-rewind mpaka utakapoelewa. Kwa hiyo unaweza ukawa umepanda kwenye basi we una earphone zako zinakupa somo. Ni raha siyo?.

Ninavyo vitabu vya masomo yote katika level mbalimbali vya kuanzia kindergaten hadi advanced level vya kujifunza Kiingereza/English, Historia/History, Jiografia/Geography, Hesabu/Maths, Biolojia/Biology, Uchumi/Economics, Uinjinia/Engineering, Uhasibu/accountant, Teknolojia ya habari na mawasiliano/IT, Hadithi mbalimbali/Stories na vingine vingi.

Bei ni kuanzia shs 5000 na kuendelea kutegemea na ukubwa wa kitabu.

Barua pepe: fadhilipaulo@gmail.com

Pia nina dvd za majaribio/experiments katika somo la biolojia/biology na Hisabati/Mathematics.

Haya jamani sasa mnaweza kupumzika kusikiliza muziki ili msikilize masomo.
 
Nadhani ungeli-upload japo somo moja hapa jamvini tuone namna tutor alivvyo creative wa kuwafanya watoto waelewe. Ila usije kuja katika style kama ile ya mbunge wetu yule aliyekuwa "mtunzi" wa vitabu vingi vya Google; leo impact yake graduates wetu hawana uwezo mzuri wa ku-analyze issues.
 
Uko sahihi mkuu.. Mleta mada weka japo kimoja

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Subiri nitakuwekea siyo muda.

Back
Top Bottom