Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naombeni msaada kidogo naitaji kujua agents wa autorec tanzania ltd ofisi zao zinapatikana wapi au showroom zao.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iko kwenye hali nzuri, inapiga mzigo vizuri tu... If you're interested piga no. 0754750835 .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imetemea km 78000, sport rim, ina mwaka 1 ilifika april 19. Imesha lipiwa vyote. Bei 10 mil
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Ni simu ya nokia 5233 nyeusi kama mnavyoiona apo,ina miezi minne tu inauzwa "180000.TZ$" haina tatizo,ni touchscreen smartphone na ina apps za kumwaga tu,kila kitu kam internet,radio,mmry card...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Habari zenu! Kuna mbongo mwenzetu ndo karudi nchini anahitaji mtaalamu wa kumshauri na kumjengea kibangalow cha ukweli (sio ghorofa) mitaa ya Mbweni. Ramani anayo, sema ni mgeni kidogo baada ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
natafuta hiyo gari ya kununua....isiwe D4, bugdet yangu ni 6milions....ikiwa number b itakuwa poa zaidi...me nipo arusha
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Nauza External Disc yenye ujazo wa Gb 150 kwa sh.elfu sitini Siyo mpya imetumika Maelewano hakuna shaka Namba yangu ni 0656652250
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samsung S2 original toka korea bei poa Tsh. 480,000/= WAHI ZIMEBAKI CHACHE
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Wakuu natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni. Iwe na room tatu mojawapo iwe master bedroom, umeme,maji, parking ya gari angalau tatu na iwe na fensi. Iwe inajitegemea yaani sio...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Helo JF Am selling my ps 2 for 150,000 its still new and with its control pads and power cable + VGA cable. Its urgent call me on 07163-69299 or 0778-480905 Sent from my BlackBerry 8520 using...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hamjambo? Nipo Morogoro sasa,na shahada yangu ya Ugavi na Manunuzi toka TIA (2012). Tayari kufanya kazi kwa kujitolea "bila utata" ili kumsaidia mtoa kazi na mimi mwenyewe. Nzuri zaidi ni...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
iwe maeneo kuanzia sinza kijiweni mpaka bamaga ukubwa wake at lest 30 sqmt. 0755312233
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Injizi size1298cc, petrol, Imesajiliwa kwa mara ya kwnza TZ 26/02/10 ina namba BFZ imetembea 146470km Bei maelewano piga simu tulonge au tuma sms uliza "Virts inauzwa sh ngapi?" 0755312233.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wandugu bado natafuta kiwanja amy one to help kuanzia robo tatu hadi heka urgrnt shanty town mpoo!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hajakamilika. Ina vyumba vitatu vya kulala jiko na sebure haijakamilika. Bei maelewano. Muhitaji tuwasiliane kupitia hizi namba 0717114409 or 0784225000. Sms ruksa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasalaam wanaJF!! Smartphone BB Bold 9780 inauzwa!! Haina tatizo lolote ila ni used,screen yake haina mikwaruzo kwan ina screen guard tangu upya wake!!! Kama uko interested tuwasiliane @0767...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
BB bold 9700 inauzwa kwa bei ya laki 2 na elfu 50 za kitanzania, haina mchubuko na inafanya kazi vizuri. Wasiliana na namba 0756 41 75 04 ili kuipata. tembelea NAUZA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BB bold 9700 inauzwa kwa bei ya laki 2 na elfu 50 za kitanzania, haina mchubuko na inafanya kazi vizuri. Wasiliana na namba 0756 41 75 04 ili kuipata. tembelea NAUZA
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mwenye pick up mzuri hilux, even other model tuwasoliane. 4Wd
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iwe na Specification hizi with Android operating system RAM: 512 MB or above PROCESSOR: 1GHZ SCREEN SIZE: 4INCHES or above 3G NETWORK Samsung Zitakuwa more preferable.... Thanks...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom