ndugu husika na mada tajwa
Kiwanja chenye viwanja viwili ndani yake medium density kila kimoja kinauzwa.
kipo eneo la buhongwa mjini,kilomita moja kutoka buhongwa stand.
Gharama ni million 20...
ANYSEE is an International Company registered in Hong Kong in the year 2000. It is a worldwide company with branches in Russia, Malaysia, Indonesia, China and Hong Kong being the Head office...
Wakuu nauza Samsung Galaxy II. imetumika kwa miezi saba. Bei Tshs 600,000
Pia laptop PROLINE inauzwa. imetumika miezi sita bei Tshs. 500,000
Spec zake: Windows 7 Ultimate
Processor: Intel (R)...
wenye kuhitaji gari nauza carina ti number ni bhn ina km 174000 kwa aliyoko tayari waweza wasiliana na kufanya biashara
Bei ni milioni saba na nusu.....0756019969 tuwasiliane kwa number hyo
Wadau
Nahitaji kununua gari yenye fuel consumption ndogo but durable ktk kuangalia details nimefikia Carina Ti 1500cc & Nissan Wingroad 1500cc. Mwenye details anijuze
Habarini wanajamvi jamani napendA kuwajulisha kuwa bidhaa pendwa iliyotajwa hapo juu ,ni genuine au original kabisa na vizito kutoka Congo mali ndo imeshuka,vinauzwa Tsh 40000 kwa doti yenye piece...
Jaman chakula cha mifugo hasa nguruwe au ngombe kinauzwa kwa bei chee kabisa.chakula hiki ni special kwani kina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo:
1.pumba
2.ngano
3.unga wa mahindi
4.mahindi...
Wakuu heshima kwenu.
Kwa wale wajasilia mali na wale wanaotaraji kuwa wajasilia mali, nina agent till ya M-pesa ninaiuza.
Sababu ya kuiuza ni baada ya kuletewa nyingine nikiwa tayari...
Kuna nyumba ya kupanga Mbezi beach-makonde, jirani na mbezi garden hotel. Ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, jiko na sebule. Ni nzuri sana . Anayetaka ani PM nimpe namba ya mwenye...
Nimekuwa nikipokea simu kutoka kwa watu wanaotaka nunua vitu mbali mbali kama smartphones na tableti, wakiomba ushauri toka kwangu...na wengine hata wakitaka kununua wakidhani nina duka. Mimi ni...
Car for sale with lowest price ever
Brand : Daihatsu Terrios Kid
year : 1999
mileage : 123850
location : Arusha
valid road licence
with comprehensive Insurance upto November
Price...
Nina duka la vifaa vya umeme na ujenzi- kiasi. thamani yake ni minimum ya mil 2.5
Nimefanya biashara kwa almost 3 complete months--- kama mtu atahitaji mauzo yalivyokuwa nitamuonyesha.
Nilimuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.