Tuko pamoja mkuu. Safari njema.Thanks alot Grafani11- nimekupata vizuri sana mkuu! dats y i like Jf....All the best mkuu on the way back......Be safe.
weka picha tuione. mia
Haina shida mkuu, ngoma ni hii hapa:HAUZI, anataka kuinunua, hivyo anahitaji review za watu waliowahi kuitumia!
Haina shida mkuu, ngoma ni hii hapa:
Mkuu hiyo ni sawa lakini hata hii ni Alteza na ina CC 1980 kama hiyo, tofauti ni muundo wa bodi.Hii siyo Alteza Gita mkuu! GITA siyo SEDAN, ni HATCHBACK..! Hii ni TOYOTA ALTEZZA!
Mkuu hiyo ni sawa lakini hata hii ni Alteza na ina CC 1980 kama hiyo, tofauti ni muundo wa bodi.
Mkuu mtoa mada ameulizia kuhusu yenye 1980cc.Uko sahihi Mkuu, Japo GITA nyingine zina engine ya 2JZ 2990cc! ALTEZZA nyingi zina 1G 1980cc na 3S 1990cc!
Mkuu mtoa mada ameulizia kuhusu yenye 1980cc.
Waungwana hii gari Alteza Gita inafaa kwa matumizi ya kawaida na safari ndefu kidogo 1980cc!
Help me waungwana....
iko poa ila kama unataka nunua nakushauri ununue ALTEZA yenyewe sio gita!!
Lete sifa zake. Wakati unaleta sifahizo egemea kwenye mada kwakuwa mtoa mada kwa kutokana na sabau moja au nyingine amependa Altezza Gita tena na sifa zake amezitaja.Kweli Mkuu, nilikuwa najaribu kufafanua tu. BTW, i preffer Subaru Forester kuliko hizi ALTEZZA! Subaru ikitulia barabarani kuikuta ni utata!
Lete sifa zake. Wakati unaleta sifahizo egemea kwenye mada kwakuwa mtoa mada kwa kutokana na sabau moja au nyingine amependa Altezza Gita tena na sifa zake amezitaja.
Nimesema hivyo kama angalizo kwa kuwa ukubwa wa injini ya Subaru unaijua kwa maana ya CC, na huwezi kujua pendekezo la mtoa mada limetokana na sababu zipi, pengine ni kutokana na less fuel consumption yake wewe unataka kumpa high fuel consumption.Lol, ngoja tusiharibu thread ya jamaa Mkuu. Btw, sifa alizotaja mleta mada nini nini zaidi ya ukubwa wa engine
!
Nimesema hivyo kama angalizo kwa kuwa ukubwa wa injini ya Subaru unaijua kwa maana ya CC, na huwezi kujua pendekezo la mtoa mada limetokana na sababu zipi, pengine ni kutokana na less fuel consumption yake wewe unataka kumpa high fuel consumption.