kiwanja kinauzwa

kiwanja kinauzwa

Aydoo

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
8
Reaction score
0
kiwanja kinauzwa maeneo ya kibada ni mahala pazuri na ni hatua chache kufika barabara kubwa ipitayo madala dala...... ina hati na plan ya nyumba pia ipo..... kwa yeyote atakayehitaji email me in my account hayaty46@live.com
 
Umemaliza??
 
kiwanja kinauzwa maeneo ya
kibada ni mahala pazuri na ni hatua chache kufika barabara kubwa ipitayo
madala dala...... ina hati na plan ya nyumba pia ipo..... kwa yeyote
atakayehitaji email me in my account
hayaty46@live.com
kaka weka bei na ukubwa wake na cm yako pia
 
Hiyo email address yako mkuu inafanya nisite kutuuliza chocote zaidi kuhusu hiki kiwanja. I will pass. Thanks:mvutaji:
 
hiyo email ni active na sio za kijinga i can use any name i want its upon me and my choices..... only serious buyers have already replied me through my email mwenye kutaka details awasiliane nami kwenye email hiyo ntampa details zote
 
Hata ukubwa wa kiwanja mpaka simu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom