Biashara ya samaki(dagaa/sangara/fulu/ziko)

Biashara ya samaki(dagaa/sangara/fulu/ziko)

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
Natafuta mtu mwaminifu wa kufanya nae biashara ya samaki kutoka sehemu yoyote ile ya tanzania japo nasikia kwa Dar ndio kuna soko zuri la samaki. Mi nipo mwanza/simiyu, ivyo mtu yeyote aliyetayari anipm kwa maelezo na mawasiliano zaidi. Kwa mtu atakayekuwa tayari nitamnunulia samaki husika na kumletea sehemu husika.
 
Hii fursa ingemfaa yule dada sijui nani wa dar aliyekuwa na fremu dar anataka biashara hii, ngoja nikimkumbuka nitamwita!!!
 
Natafuta mtu mwaminifu wa kufanya nae biashara ya samaki kutoka sehemu yoyote ile ya tanzania japo nasikia kwa Dar ndio kuna soko zuri la samaki. Mi nipo mwanza/simiyu, ivyo mtu yeyote aliyetayari anipm kwa maelezo na mawasiliano zaidi. Kwa mtu atakayekuwa tayari nitamnunulia samaki husika na kumletea sehemu husika.

​Finderboy nimeku-PM, tuwasiliane huko!
 
Natafuta mtu mwaminifu
wa kufanya nae biashara ya samaki kutoka sehemu yoyote ile ya tanzania
japo nasikia kwa Dar ndio kuna soko zuri la samaki. Mi nipo
mwanza/simiyu, ivyo mtu yeyote aliyetayari anipm kwa maelezo na
mawasiliano zaidi. Kwa mtu atakayekuwa tayari nitamnunulia samaki husika
na kumletea sehemu husika.
mkuu nime ku pm lkn kimya.Mi nahitaji hiyo biashara 0717373037
 
mkuu nime ku pm lkn kimya.Mi nahitaji hiyo biashara 0717373037

nimejibu pm zote, nashukuru kwa kupata namba yako, kwasasa nipo busy kidogo(msibani), kuanzia j4 ndo ntakuwa free
 
Back
Top Bottom