DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Msaada kwenu wakuu ,nahitaji kujua duka gani hapa dar nitapata Samsung galax 3 Original Brand New,kwa bei rahisi hapa Dar.
Nenda mlimani city mkuu!Msaada kwenu wakuu ,nahitaji kujua duka gani hapa dar nitapata Samsung galax 3 Original Brand New,kwa bei rahisi hapa Dar.
shukran mkuu ila ninavyo jua mm mlimani city vitu vyao bei sana.Nenda mlimani city mkuu!
Pale wanauza original but kuhusu bei nzr inategemea mfuko wako ingawa mie naona wako cheapest than other dealers!
Msaada kwenu wakuu ,nahitaji kujua duka gani hapa dar nitapata Samsung galax 3 Original Brand New,kwa bei rahisi hapa Dar.
shukran mkuuNenda sapna posta, mtaa wa samora. Utapata kwa bei nzuri sana. Pale galaxy s3 ni 795k for 16gb version na 935k for 32gb version. Its the best price you can get
shukran mkuu
Nenda sapna posta, mtaa wa samora. Utapata kwa bei nzuri sana. Pale galaxy s3 ni 795k for 16gb version na 935k for 32gb version. Its the best price you can get
Mkuu sory nimemuuliza uliyemuelekeza badala yako,je sapna galaxy s2 (I9100) inaweza kuwa ngapi, nitashukuru ukinifahamisha
Mara ya mwisho nimeenda sapna galaxy s2 sikuzikuta mkuu