Habari wadau..
Natumai wengi wenu mpo salama
Leo nawaletea ipad 2 kwa laki 6 tuu..
In excellent condition..
Please call me 0712 507060
Nipo dar..asante
habari wandugu nahitaji spare za ford focus naomba mnijuze ni wapi zaweza kuzipata mimi nipo dar es salaam au kama kuna ajent wake au wataalam wa hizi gari
kama una fahamu madini kama vile
1.aqumalin aina yote
2.tomalini rangio za haina zote
3.zl con
4.rose and red garment
5.amasisti na
na mengine mendi wana jamii forum lete order una...
WAKUU HABARI ZENU KUNA MDOGO WANGU KAZICHANGA CHANGA ANATAKA KUCHUKUA NDINGA SALOON
SASA ALIKUWA ANAULIZA ACHUKUE NDINGA GANI NZURI YENYE comfortability NDANI YAKE
YA KUANZIA WALAU MWAKA 2001...
Huawei ASCEND Y200, second hand imetumika kwa mwezi mmoja tu, iko unlocked, rooted na imekuwa customized ROM yake to ICS.......atayehiyaji anichek kwenye 0712 780006, kwa bei ya Tshs. 180,000/= tu.
Nyumba inapangishwa ipo Gogoni Kiluvya B. Ni studio apartment, kila nyumba ina chumba kimoja cha kulala, sebule na choo. Inafaa kwa "just married couples". Zipo apartment nne. Mwenye kuhitaji...
Nyumba ya vyumba viwili,Kimoja master Sebule jiko na choo cha nje. Ipo ndani ya Geti
Shiling laki mbili na hamsini 2500000. Unalipa kwa miezi 9
Piga 0682699999.
Wahi kabla haijaingia mikononi...
Chumba kimoja, kiwe self...seating room ( si lazima iwe kubwa sana...am a bachelor)...kitchen itakuwa added advantage..iwe sehemu ya karibu na usafiri, hasa wa kwenda posta..eneo la...
habari wadau!!!
napenda kuwataarifu wadau wapenda maendeleo wote kuwa mimi na wenzangu(tupo7 sasa) tupo kwenye NGO iitwayo vision saccos. Sisi tupo morogoro vijijini-Dutumi village na tumepata...
Nauza equalizer sensor,ambayo inasense mziki ndani ya gari na kuudisplay nyuma kioo cha gari
Bei yake ni 180000
Atakayekuwa interested anicheki kwa namba. 0717312314
Wana jamvi heshima!
Kuna hii kitu inaitwa soya cake ni waste product ya soya ikishakamuliwa. Kama kuna mdau anaweza kupata hii kitu tuwasiliane. capacity kuanzia tani kumi. KARIBUNI.
MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini...
Tafadhali wadau kwa usumbufu, Keyboard ya laptop yangu ilipata hitilafu nikajaribu kutafuta Uganda na Kenya nimekosa . Nimefanikiwa kuipata online ila kuinunua imekuwa taabu kutokana na masharti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.