Watanzania jipatieni Tshirt za ukweli zenye chata tofauti na quality isiyo chuja wala kuharibika na pasi.pia unaweza kuchapisha Tshirt utakavyo,fika kariakoo mtaa wa Udoe na Sikukuu karibu na Home...
Habari wana jamvi. IloveTZ Premium Hosting sasa inatoa 500mb's bure kwa kila domain (.com .net .org) utayonunua (22500/=). Pia endapo utahitaji msaada wa designing utapata katika bei nafuu. Waweza...
Haijakamilika imeisha kwa asilimia 90. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 900 na kina Hati Miliki. Ina vyumba vitatu vya kulala ambavyo vyote ni self contained. Ukubwa wa vyumba...
Jamani natafuta maid,ni lazima awe wa kulala si wa kwenda na kurudi nipo Mwananyamala.hata kama akiwa mkoani tuwasiliane nitatafuta namna ya kumfikia na kumtumia nauli.Mshahara ni maelewano umri...
Napenda kuwatangazia kuwa kunaviwanja vakujenga ninauza vipo mkoa wa Arusha mtaa wa Kikatiti 1km kutoka barabara kuu robo km kutoka soko kuu la Kikatiti.
mawasiliano 0753127191 au 0756408423...
Eneo ekari nane linauzwa milioni 25 kwa eka; lipo mita 200 toka usawa wa bahari na linapakana na kaole sekondari. Linafaa kwa ujenzi wa hoteli, apartments, au campsite kwa ajili ya utalii...
Kutakuwa na mkutano mkubwa wa biashara(BUSINESS FORUM) siku ya jumapili ya tarehe 5 may Peacock Hotel,Millenium Towers Kijitonyama ambao utahusisha wafanyabiashara mbalimbali wa ndani ya nchi...
Wakuu,
Kwa aliye mwenyeji wa lake zone, natafuta shamba eneo la Sengerema (highway ya Mwanza-Sengerema)
Yaani liwe ni jirani ya Kigongo ferry au hata vijiji vya jirani yake, likiwa kwenye ukingo...
Samsung mini laptop(BRAND NEW)
Intel atom inside, Processor 1.6GHZ,RAM 1GB.,HDD 300,WEBCAM,WI-FI,2 USB PORT
Price;420,000
HP mini 200(BRAND NEW)
Intel atom inside,processor 1.6GHZ,RAM 2GB,HDD...
HTC
Model: HTC wildfire A3333
Android version 2.2.1
Camera: 5MP with autofocus LED flash
Internal memory 153MB
Speed: 1GHz
Ram: 512MB
mint used
Comes with charger, earphones & usb cable.
for only...
habari wandugu natanguliza shukurani nyingi kwa members wa forums kwani kupitia jukwaa hili nimefanikiwa kupata mambo mengi pili natafuta spare part za ford focus kwa mwenye taarifa zinapo...
In vyumba vinne vya kulala kimojawapo kikiwa ''master bedroom'', sebure kubwa, dinning, jiko na store. Imezungushiwa na uzio. Kodi sh 400,000 kwa mwezi. Ukitaka kuiona nipigie hii namba tupange...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.