Viwanja vinauzwa kwa bei nzuri.

Viwanja vinauzwa kwa bei nzuri.

Pionaire

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
1,595
Reaction score
1,135
Habari wana JF,Kuna viwanja vinauzwa,kimoja kipo ''KITUNDA-KIVULE'' kipo karibu na barabara kina ukubwa wa hatua za ''UREFU-40 na UPANA-30''.Na kingine kipo karibu kidogo na tegeta maeneo ya ''MADALA-KWA KAWAWA'' kina ukubwa wa hatua ''UREFU-40 na UPANA-36'',viwanja hivyo havipo ''MILIMANI WALA MABONDENI'',vyote vina hati miliki halali,mnunuaji atapelekwa kuviona vilipo kabla ya manunuzi na wahusika endapo atafika bei,kwa atakayeitaji na maelezo zaidi wasiliana na namba za wahusika ''0787 061826'' au ''0767 061826'' au ''0754 455630'' au ''0715 455630'',mteja asiwe na wasiwasi kwani swala hili halina WIZI wala UDALALI,shukrani ziende kwenu WANA JF.
 
kwa nini unakuwa muoga wa kuandika bei?biashara inatakiwa ujiamini.umeweka no.ya simu tu,kwa hiyo mpaka mtu apige simu?ni vizuri kuwe na bei ili hata mtu akipiga simu ajue ana deal la kuanzia kiasi gani
 
Mkuu kisukari hujakosea kama ulivyosema,hicho cha kitunda ni ''MILIONI 7'' na hicho cha madala ni ''MILIONI 15'',Kwa atakayeitaji maongezi ya bei pia yapo.
 
mimi nahitaji kile cha kivule,kipo kivule sehemu gani?
 
Yap,mkuu azote kiwanja hicho cha kivule kipo karibu na stendi ya SACCOSS,Unaposhuka kama hatua 30 hivi mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom