Nyumba 2 zinapangishwa Mbezi beach Dar

Nyumba 2 zinapangishwa Mbezi beach Dar

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
NYUMBA YA KWANZA: IPO AFRIKANA

3 Bed rooms
Dining room
Seating room
Ina fence
Maji
Umeme
Tiles
Madirisha ya aluminium
Parking

Kodi: 500,000/= kwa mwezi na inatakiwa ya mwaka mzima.

NYUMBA YA PILI: IPO MAENEO YA GREENACRES (GM)
4 Rooms (of which 2 are masters)
Dining
seating room
kitchen
internal garage (parking)
Fence
Maji
Umeme

Kodi: 580,000/= kwa mwezi x12

Piga au tuma sms kwenye 0769142586
 
hivi wewe bei hiyo apange nani? mbona za bei rahisi zipo
 
hivi wewe hujuwi kuna watu hawapendi vitu vya bei rahisi?, unashangaa hiyo mbona ndogo? maeneo hayo kuna nyumba zinapangishwa mpaka dola 1000 kwa mwezi. Kwanini unatumia simu ya laki 2 wakati zipo za elfu 20?

mkuu mi nataka ya laki moja ntapata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom