COOLING BIN WANTED(bin la kuhifadhia barafu)

wamatinga

Member
Jan 22, 2013
99
15
Salamu wangwana wa JF!
natafuta bin la kuhifadhia samaki kwa barafu. liwe na ukubwa wa mita moja au zaidi upana na urefu na kifuniko chake. asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom