Heshima kwa wote!!
Nahitaji nyumba ya kupanga iwe vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe self, iwe na jiko na sitting room na public toilet.
Maeneo:
Chang'ombe, mivinjeni, upanga, mikocheni...
Hii ni gari ya kwanza kati ya mawili THE SENIOR JUNIOR GENERAL SUPPLIES iliyo nayo sokoni. This is CARINA engine pamoja na vifaa vingine vyote bado vipo katika hali nzuri na haihitaji matengenezo...
Legacy impresion company
Graphic design,printing,webtech,stationeries and brand consultants
Plot no 428 block 44 kijitonyama,Dar es salaam
Oppst K.K.K.T church kijitonyama
0713603699/0767603699...
A reputable qualified company located at Tegeta DSM.
We are selling high quality blocks and receiving tenders from clients,at 900 Tsh (5inch) and 1000 Tsh (6inch)...........0764 468 469.
Ninauza simu yangu bb 9700 laki 230,000 haina tatizo lolote, ina usb na earphones zake na m.card ya 2 gb. Niko Dar es Salaam kama unaihitaji. Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9700 using...
Nahitaji simu tajwa hapo juu ila isiwe product ya china tafadhari zaidi ya tecno tu!ikiwa na sifa zifuatazo:
1.internet yenye kasi 2g au 3g ...
2.screen size kubwa iwe rahisi kusoma documents...
Heshima,yenu wana jf,,
naomba mwenye kufahamu au kuelewa vyuo vizuri vinavyofundisha masomo ya baby care na nursery teachings,anisaidie kunijulisha na taratibu zao,ikijumuisha adaa,kama...
Habari wana JF.
Natafuta mpishi amabae yupo tayari kufanya kazi na UK company amboyo inabranch dar. Vigezo ni awe profesional one ambae ana experience na foreigners na kama ameshafanya kwenye...
Ni rangi nyeusi,8gb internal memory,inapiga net kama kawa,haina scratch,imetumika miezi mitatu tu. Bei ni laki 3 unusu/350000, nitext 0659604089
lumia 610
Plot inauzwa maeneo ya mabwe pande ipo kilometa tatu (3) kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo, unaingilia kwenye barabara kubwa iendayo kwa wahanga wa mafuriko lakini unayapita yale makazi...
Wadau naishi Wilayani pembezoni kidogo na naona mahitaji ya huduma bora ya internet kwa vijana wetu na wananchi kwa ajili ya mawasiliano ya TEHAMA.
Kwa wadau na wajasiliamali wazuri wa kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.