Naomba msaada wa ku - unlock Blackberry 8320 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa ku - unlock Blackberry 8320

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mchana, Aug 12, 2008.

 1. Mchana

  Mchana Senior Member

  #1
  Aug 12, 2008
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 181
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Waheshimiwa naombeni busara zenu na msaada kwani najua hapa ni kitovu cha mambo yote. Kuna mshkaji wangu ameniletea Blackberry kutoka USA iliyokuwa katika contract ya T-Mobile aina ya Blackberry 8320. Naomba ushauri ni wapi niifungulie hapa bongo.

  Hint inatakiwa kufunguliwa kwa kutumia unlock code na sio cables)

  Natanguliza shukrani wakuu!
   
 2. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #2
  Aug 13, 2008
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nenda pale uchochoroni kabla hujafika pale zamani palikuwa panaitwa food world restaurant yani hatua kama mbili kabla kushoto then watakufungulia kwa dolla kama mia ivi au less lakini pia kama una mtu yuko US mwambie awasiliane na iyo kampuni ya iyo cmu watamfungulia kwa kumcharge hela ndogo sana compare na bongo au do it through their website.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,590
  Likes Received: 18,575
  Trophy Points: 280
  hongera kupata blackbery. usidanganyike eti utaanblock hiyo simu no way and dont waste your time and money kwa sababu hiyo simu imeibiwa huko ilikotoka. kwa tanzania ni zain pekee wenye right ya blackbery tena kwa wateja wa bill. ikiwaka tuu inajiunga na mtandao moja kwa moja, waliotengeneza ndio walioifunga na itabaki hivyo hiyo kama laptop za macintosh air book
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,607
  Trophy Points: 280
  vODACOM WANA LAUNCH.....SOON
   
 5. Kiungani

  Kiungani JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2008
  Joined: Feb 2, 2007
  Messages: 274
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  Unaweza ku-unlock Blackberry na kutumia kwa kampuni yo yote hata kama siyo Zain. Sijui kwa Bongo nani wanaweza ku-unlock, ila kama simu ni ya T-mobile na haikuibiwa, T-Mobile wanaweza kukupa code (for free) na unaweza ku-unlock mwenyewe.

  Mimi pia nina T-Mobile Blackberry 8320 un-locked na nimekuwa natumia for over a year now. Niliipata USA na ku-unlock nikiwa USA. Ninabadilisha tu cards (Zain, Voda, Tigo) na nikienda nje ya Bongo pia nafanya hivyo hivyo na inafanya kazi kama kawaida.
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Sep 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  the easiest way to unlock blackberry and it wont cost you a dime is call your phone carrier and ask for the unlock code they will ask for the imei of the device in tanzania please visit zain offices www.zain.com - sayansi kijitonyama of thats hard for you then i can help you with the number of a guy to call hapo zain he will talk to you
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Oct 1, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  [​IMG][FONT=&quot]

  If you own a BlackBerry mobile phone (or plan to buy one), here’s a very useful shortcut (or can we say Easter Egg) that enables you to perform a complete health checkup of your BlackBerry hardware.[/FONT]

  [FONT=&quot]You will be able to test the keys of your BlackBerry keyboard, trackball movements, audio volume, Bluetooth connection, handset, speakers, LED, LCD screen pixels, etc. [/FONT]

  [​IMG][FONT=&quot]

  To begin the test, click "Options" icon on the home screen of your BlackBerry and then select "Status." [/FONT]

  [FONT=&quot]On the status screen, type the wor d "test" without quotes and from the menu on the Device Self Test Application screen, select Start. [/FONT]

  [FONT=&quot]If you have a BlackBerry Pearl or another model that supports SureType, use the multi-tap input method to type "test". [/FONT]

  [FONT=&quot]As you may have seen in the test report, it says "Fail" for the Keypad Backlight Test on my BlackBerry Curve – that looks like a false positive to me.[/FONT]
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nobody will be able to open it if not t-mobile...this is what you need to do...if your friend is still in USA and T-mobile is his provider he can do it by calling t-mobile and let them know that he will be traveling going outside the country and he need to use his blackberry phone...All they will do kuchukua serial namba ya hiyo simu yako then wakisha unlock they will send your friend an email to let him know its done...I have t-mobile and i normally do that when i travel kwenda nje ya nchi ya Marekani na nimeshasadia few of my friends ambao wana AT&T kufungua simu za t-mobile.

  try that....
   
 9. d

  doracute Senior Member

  #9
  Jun 7, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unataka kufungua Blackberry wako 8320? Kwanza kutembelea hii Simpleunlocking.com tovuti hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua Blackberry wako 8320. Kupata bure Mkono kufungua mwongozo kutoka hii Mobileunlockguide.com tovuti hii maelekezo ni muhimu kwa kufungua Blackberry wako 8320.
   
Loading...