Duduplosion: Website design & Unlimited Hosting toka Dudumizi


Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
424
Likes
12
Points
35
Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
424 12 35

Hosting Plans: Duduhosting Our Works: Dudu Portfolio Our Services: Dudu Services

Katika dunia ya leo kumpata mtengenezaji wa Website si tatizo, ila kumpata mtengenezaji wa website inayofikia malengo BADO ni tatizo KUBWA kwa Tanzania.

Tukiwa ni kampuni inayofanya kazi zake kimataifa, na kwa kutambua mchango wetu kwa jamii Dudumizi Solutions inakuletea ofa maalum ya UNLIMITED HOSTING. Kwanini uchague Dudumizi ?

1. Tunamiliki Server zetu wenyewe na SIO kama wale waliokodisha nafasi halafu nao wanakodisha wengine. Hivyo tuna uwezo wa kukugawia IP yako mwenyewe. Hii ndio sababu, gharama zetu ni reliable na nafuu.

2. Tuna wataalamu wenye ujuzi na uzoefu juu ya IT na Biashara, hivyo tunamaanisha tunachokisema.

3. Utapata FREE IT Audit Report toka kwa wataalmu wetu kila mwisho wa mwaka, hii itakuwezesha kujua muendeleo wa biashara yako.

4. Huduma zetu ni za uhakika kwa 99.99%. Endapo itatokea siku moja website haipo hewani zaidi ya masaa matatu kwa mwezi (accumulative sum) kwa sababu ya server yetu, tunakupa mwezi mmoja bure wa hosting. Website kama Mjengwablog.com inahostiwa na Dudumizi na ipo hewani 24/7 huku ikiwa na maelfu ya watembeleaji.

Tembelea: Dudumizi.com au tuandikie: info@dudumizi.com

Tumia Coupon: Jamiiforums kwenye Hosting kupata one month extra FREE hosting.
 

Attachments:

M

Mtumwa baniani

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Messages
130
Likes
3
Points
35
M

Mtumwa baniani

Senior Member
Joined Apr 13, 2013
130 3 35

Hosting
Plans: Duduhosting
Our Works: Dudu
Portfolio
Our Services:
Dudu Services


Katika dunia ya leo kumpata mtengenezaji wa Website si tatizo, ila
kumpata mtengenezaji wa website inayofikia malengo BADO ni tatizo KUBWA
kwa Tanzania.

Tukiwa ni kampuni inayofanya kazi zake kimataifa, na kwa kutambua
mchango wetu kwa jamii Dudumizi Solutions inakuletea ofa maalum ya
UNLIMITED HOSTING. Kwanini uchague Dudumizi ?

1. Tunamiliki Server zetu wenyewe na SIO kama wale waliokodisha nafasi
halafu nao wanakodisha wengine. Hivyo tuna uwezo wa kukugawia IP yako
mwenyewe. Hii ndio sababu, gharama zetu ni reliable na nafuu.

2. Tuna wataalamu wenye ujuzi na uzoefu juu ya IT na Biashara, hivyo
tunamaanisha tunachokisema.

3. Utapata FREE IT Audit Report toka kwa wataalmu wetu kila mwisho wa
mwaka, hii itakuwezesha kujua muendeleo wa biashara yako.

4. Huduma zetu ni za uhakika kwa 99.99%. Endapo itatokea siku moja
website haipo hewani zaidi ya masaa matatu kwa mwezi (accumulative sum)
kwa sababu ya server yetu, tunakupa mwezi mmoja bure wa hosting. Website
kama Mjengwablog.com inahostiwa na Dudumizi na ipo hewani 24/7 huku
ikiwa na maelfu ya watembeleaji.

Tembelea: Dudumizi.com au tuandikie:
info@dudumizi.com

Tumia Coupon: Jamiiforums kwenye Hosting kupata one month extra
FREE hosting.
Charges? Utaratibu wa kupata huduma yenu?
 
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
782
Likes
217
Points
60
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
782 217 60
Honger sana Dudumizi ila hakikisha usije ukatududumiza hahaha (bad joke)..lol

Well: got two webs

Oricdotcodottz and aiodotcodottz let me know cost for hosting, unlimited and design a single web page, also I need new domain kohidot.co.tz again for hosting, design few pages and unlimited mail ID's.

Chapchap bana!


+255 715/764/784 800989
 
Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
424
Likes
12
Points
35
Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
424 12 35
Honger sana Dudumizi ila hakikisha usije ukatududumiza hahaha (bad joke)..lol

Well: got two webs

Oricdotcodottz and aiodotcodottz let me know cost for hosting, unlimited and design a single web page, also I need new domain kohidot.co.tz again for hosting, design few pages and unlimited mail ID's.

Chapchap bana!


+255 715/764/784 800989
Kwa kuhost, unaenda Portal Home - Dudumizi Solutions na kusajiri domain yako (huduma unayotaka), sisi tumeamua kuautomate mambo yote, hivyo kila kitu ni automatic na kinafanyika online. Ukishamaliza moja kwa moja utaweza kuwa online muda huohuo. Unaweza kulipia kwa Paypal au Mpesa. Nimeambatanisha packages zetu tunazotoa kwa sasa.

Kuhusu Design mara nyingi gharama zetu hutegemeana na features za tovuti yako, nayo unaweza kutuma email kwenye info@dudumizi.com au unaweza kuomba FREE QUOTE kwa kujaza form kwenye hiyo link.

Ahadi ni deni, kama haujaridhishwa na huduma zetu kulingana na makubaliano ya ubora wa huduma zetu (SLA) ndani ya wiki, tunakurudishia pesa zako. Ingawa haijawahi kutokea kwa Dudumizi.

 
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
782
Likes
217
Points
60
akohi

akohi

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
782 217 60
Asante kwa majibu mazuri naona bei zenu ziko std kabisa ila naomba usinichaki ku upload web maana design asilimia kubwa ntafanya mwenyewe japo itabidi nikao na mtaalamu wako for few minutes afanye tunings just to make it looks more professional. Pia nikitaka kulipa natumia exchange rate ipi?

wwwdotoricdotcodottz and Wwwdotaiodotcodottz and wwwdotkohidotcom
 
Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
424
Likes
12
Points
35
Kilongwe

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
424 12 35
Asante kwa majibu mazuri naona bei zenu ziko std kabisa ila naomba usinichaki ku upload web maana design asilimia kubwa ntafanya mwenyewe japo itabidi nikao na mtaalamu wako for few minutes afanye tunings just to make it looks more professional. Pia nikitaka kulipa natumia exchange rate ipi?

wwwdotoricdotcodottz and Wwwdotaiodotcodottz and wwwdotkohidotcom
Kuhusu uploading, utakuwa na Cpanel, FTP nk so ni one click pia kuhusu support usiwe na wasi kwani lengo letu ni kutransform jinsi watu wanavyotoa huduma hizi. Waswahili husema kizuri chajiuza.....

Kwenye exchange rates, usiwe na wasi, kabla ya kucheckout kutatokea sehemu ambayo utachagua pesa currency unayotaka kulipia, iwe TSH au USD kama inavyoonekana kwenye picha.

 

Forum statistics

Threads 1,274,336
Members 490,676
Posts 30,508,835