tangazo la kifo

tangazo la kifo

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
155
Reaction score
19
familia ya Mmaka inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa bi Mwanahawa Ally Mmaka habari ziwafikie ndugu na jamaa na marafiki wa familia hii.
 
Hilo nalo ni tangazo la biashara?..anyway Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.
 
Back
Top Bottom