Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

2009 Yamaha XT250 Dual Sport. White, Blue and Black. Less than 1000 miles. As good as new. imported from USA. Price Tshs 7.5 Million Or Best Offer. Contact 0656607933 for price and...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Nauza Used Desktop Computers Nne aina ya Dell Optiplex 620 Zipo 4 na ni kila moja ni complete pamoja na original screen, speaker, mouse na keyboard. Zinatumia Windows XP. Kwa specifications...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
nahtaji desktop(full)..iwe na monitor flat screen..ni ubungo dms contact 0768497592. Kama unayo na unauza toa varryfication za computer yako then tufanye biasha. Price 200,000 inaweza kupungua au...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ni black and brown in colour ina 4gb internal ina 8megapixel camera ina 4.3 inch display screen...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kiwanja kikubwa kizuri cha kujengeachenye hati kinauzwa maeneo ya Kibada kwa shillingi mil. 25 na maelewano. Kwa anaehitaji tafadhali ani PM na kama kuna madalali, tafadhali tuwasiliane pia.
0 Reactions
3 Replies
895 Views
Ipo karibu na klabu ya yanga,bei Mil 600. Ina hati na unaruhusiwa kuhakiki. Siriasi buyers wani PM. Kama we ni dalali nijulishe tuelewane kabla ya biashara kufanyika.Maoengezi yapo. Sokoni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inauzwa hapa dsm ina 55,000km.ya mwaka 1998.namba cjx.kama unaitaj nipm tuongee
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujua process anieleweshe ikiwamo Licence fees na mengineyo.Na pia kama kuna yeyote mwenye sehemu ya kupangisha(inayofaa kwa shughuli hiyo) kati ya Kimara au Tegeta...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
nauza lain ya m pesa kwa anayehitaji anitafute kwa namba 0778216185.
0 Reactions
0 Replies
882 Views
I need sony experia x10,anyone selling it , just holla thru 0752385949 location dodoma
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Ni Amplifire za kurushia picha kwenye cable. Nilishawahi andika hapa kuna baadhi wakanishauli nitumie faiba kuwaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hiyo faiba wakaingia mitini. Njia nnayoielewa...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Mimi ni fundi umeme wa majumbani,kama unahitaji wiring na masuala yote ya umeme wasiliana nami kupitia 0713 190118...naishi Dar-es-salaam
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarin wana Jf wenzangu.. Napenda kutanguliza Heshima kwenu. Ninauza Samsung galaxy S5300 price ni 150,000/=tsh Ina wik mbil tu toka niichukue dukani, Ni smart phone, Android with...
0 Reactions
2 Replies
979 Views
kiwanja kizuri mita 40 kwa 42 kipo visiga madafu-kama unatoka dar telemka madafu, upande huohuo. kipo umbali wa km 1 na 1/4, ukishavuka nguzo kuu za umeme; grid ya taifa umeme upo karibu na maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NI SITE INAYOENDESHWA NA MNTAZANIA NA PIA CREDIT ZA LGTOOL ZINAPATIKANA KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KWA gsmsolution2009@hotmail.com AU PIGA SIMU NAMBA 0774439364
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Maeneo kuanzia shekilango hadi kimara mwisho. Isizidi 3kms kutoka main road. iwe na parking walau ya gari moja. Ikiwa ya kujitegemea itafaa zaidi lakini si lazima sana. Hii ni serious sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The Senior Jr. General Supplies ni kampuni ambayo imejikita katika uingiaji na uuzaji wa magari yaliyotumika na mapya (used and new cars) toka sehemu mbali mbali duniani hususani toka nchini Japan...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Specifications: type ni acer,ram 2gb,hard disc 320gb,imenunuliwa mpya na kutumika miezi miwili na nusu tu,bei yake ni laki nne na nusu tu!,anayehtaj anitext kwa 0753584428,au PM,mazungumzo yapo!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu,Hodi, Nina mzigo wa mbao (reject) kiasi cha fuso moja nauza kwa anayehitaji au kama unafahamu wanunuzi tafadhali nijulishe.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom