Jezi Customized ya Real Madrid

Jezi Customized ya Real Madrid

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Hi All,
mambo zenu...mi natafuta wapi nitaweza printiwa jezi ya real madrid yenye jina langu nyuma...nimeona kuna watu wanazo ila sijui where to get this...i like to have one..and how much...ni PM kama you can seriously assist me. nataka iandikwe venture,namba 9 mwenyewe, striker ahahhaah, ikitoka fresh ntapenda ya Man U pia, kama backup.... endapo real wakivurunda! niko serious
 
Hahahahahahaha!..

nimependa hii mistari!..

ikitoka fresh ntapenda ya Man U pia, kama backup.... endapo real wakivurunda
 
nenda duka la zizzo pale sinza mi huwa natengenezea hapo kila msimu. kila herufi buku saba na jezi unatakiwa ununue hapo hapo
 
Nenda duka la dewji mtaa wa jamhuri karibu na dtv, herufi ni 2000/- tu.
 
Hi All,
mambo zenu...mi natafuta wapi nitaweza printiwa jezi ya real madrid yenye jina langu nyuma...nimeona kuna watu wanazo ila sijui where to get this...i like to have one..and how much...ni PM kama you can seriously assist me. nataka iandikwe venture,namba 9 mwenyewe, striker ahahhaah, ikitoka fresh ntapenda ya Man U pia, kama backup.... endapo real wakivurunda! niko serious

jengo la msimbazi/simba sports club upande wa pili wa barabara/mkabala na jengo... Kuna barabara ya vumbi kuingia ndani mbele upande wa kulia utaliona kanisa,..sasa kabla hujalifikia kanisa utaona duka la vifaa vya michezo upande huohuo wa kulia... HERUFI BUKU/1000 NA KUPRINT BUKU mfano BONI ni 5000(herufi nne plus 1000 y kuprint)
au pale bigborn oilstation kama waenda msimbazi police kuna maduka upande wa kushoto/usawa wa barabara utaona duka la vifaa vya michezo kabla ya duka la nguo makoba kama sijakosea....bei ni hiyohiyo
 
Hahahahahahaha!..

nimependa hii mistari!..

ikitoka fresh ntapenda ya Man U pia, kama backup.... endapo real wakivurunda
ahahahahha yeah! life is too short bana...tuanze kujipa presha na timu vichomi kama arsenal ahahhahahahha
 
Thanks guys...i'll passby and get the item/
 
hivi dsm hii duka gani wanauza jezi original....naona kila sehemu full kidosho
 
Back
Top Bottom