chinga4
Senior Member
- Mar 18, 2013
- 131
- 58
Kwa wenzangu wanaopenda kutumia smart phones za bei mbaya kwa kununua bei za kitonga, naomba niwafahamishe kuwa kuna simu zilizozagaa mjini hapa especially Samsung S3,S3 mini na S4. Ambazo ni copy, yaan kama sio mzoefu wa hzo simu hauwez kujua, hazna utofaut kabsaaa, na watu wanapigwa balaa, cm inauzwa lak 120 mtu anapgwa lak 4, au lak 250 kwa s4 na mtu anapigwa lak 9 mpaka 1m. So cha kufanya ili kuitambua hii ni genuine Galaxy *#2767*3855# ok, hapa samsung yenyewe n lazma itajwipe. Ni hayo tuuu.