Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 480
- 413
Wandugu wajasiriamali wenzangu,baada ya kuvuna mazao yangu,napenda uwasilisha kwenu sasa mchele super magugu unapatikana kwa wingi,mimi mwenyewe nnao hauna dalali.
Mahali mzigo ulipo nimagugu.
Ni super haijachanganywa.
Bei ni poa 1600 kwa kilo.anayetaka ani PM
mzigo ni mkubwa sana kuna zaidi ya tani kumi.
Mahali mzigo ulipo nimagugu.
Ni super haijachanganywa.
Bei ni poa 1600 kwa kilo.anayetaka ani PM
mzigo ni mkubwa sana kuna zaidi ya tani kumi.