Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Playstation PS3 inaweza kuwa mpya au imeisha tumika. budget yangu ni 500,000 Tsh.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Samsung Galaxy S3 mpya kabisaaaaaa inauzwa...bei laki 8. Only serious buyer ni PM tufanye biashara
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba ya Vyumba 3 kimoja Masterbedroom,sebule pana,Dining , choo cha ndani na bafu na choo cha nje na bafu lake,uwanja mkubwa wa kupaki magari zaidi ya ishirini, fensi nzuri na Fremu za maduka 8...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
In vyumba vya kulala vinne. Chini, kuna sebure, jiko, store na chumba kimoja self contained kwa ajili ya wageni. Juu kuna vyumba vitatu vya kulala viwili vya kawaida na kimoja kikiwa ni master...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Ipad kwa yeyote anayeuza tafadhari nipe bei.
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Kwa yeyote aliye Arusha anayehitaji manila sheets kwa bei nzuri awasiliane na mimi....
0 Reactions
0 Replies
927 Views
iphone4 mpya inauzwa kwa 390,000 ni black in color na ina 16GB nicheki kwa 0717022737
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Kwa ufundi pamoja na ushauri wa kufunga satellite Dishes na ving'amuzi tuwasliane kwa PM tutasaidiana kwa kadri ya uwezo. Aksanteni sana!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman kama kuna Mtu anauza vifaa vya Cm kwa Jumla, Ni Pm)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habar wadau wa jf,nauza till ya tigo pesa na bei yake ni laki saba kwa mawasiliano nitafuteni kwa namba 0682933868
0 Reactions
3 Replies
1K Views
10.90 USD PER JOB.WENYE FANI ZAO NADHANI WASHANIELEWA NIMEMAANISHA NINI KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANE gsmsolution2009@hotmail.com au piga simu 0774439364
0 Reactions
0 Replies
755 Views
kuna samsung galaxy note 2 brand new kwenye box yake ina vifaa vyake vyote.kwa bei ya 550$ kama kuna mtu anahitaji contact with me my email ni chokamb@hotmail.com or ebrahimimtiaz@gmail.com...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Toyota land cruiser prado yenye sifa zifuatazo inauzwa dar es salaam engine model: 3rz reg #: T 269 bry transmission: Auto, 4cylinder fuel: Petrol mileage: 130,000km color: Silver year:2002...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba kujua bei ya filamu kwenye maduka ya jumla
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NOW ON AUCTION by a mnada.co.tz Verified Seller-> a Used Compaq Presario F700 >>>CURRENT BID TSH 50,000.00/= "NO RESERVE PRICE" CLICK HERE TO BID. You must be a registered member to bid...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Eneo hilo lipo Vigwaza kwa Zoka, umbali ni kilometa 0.5 kutoka barabara ya Morogoro, bei ni milioni kumi na tanomawasiliano. 0764434673 au 0717000990
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Toyota land cruiser prado yenye sifa zifuatazo inauzwa dar es salaam M.33 engine model: 3rz reg #: T 269 BRY transmission: Auto, 4cylinder fuel: Petrol mileage: 130,000km color: Silver year:2002...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Kichwa cha habari chajieleza.Mwenye kujua sehemu hiyo inayokodishwa hapa Morogoro anicheck 0659 813881, au atupie PM au hata hapa upenuni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini za jioni wana business wenzangu, habari nzuri nawaleteeni kweni kuwa kuna migodi inatafuta wawekezaji au wanunuzi, migodi hiiyo inachimba rubby. green tourmalen. crystophes. germ na...
0 Reactions
1 Replies
978 Views
Inauzwa kwa bei ya 320,000/= maana kuna emergency imetokea,mlango wa maelewano uko wazi pia. Nipo Salasala -Dar es salaam. HAINA FLASH ilipotea.Kwa maelezo zaidi 0763364005. Hizo picha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom