Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu natafuta Nissan Patrol or Safari punky iwe katika hali nzuri nawezapa mpaka 11m kama gari iko vizuri. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wandugu nina shida na hela ndo mana nauza specifications please google the model 0712 507060 bei laki 4.5
0 Reactions
0 Replies
786 Views
jipatie aloe gelly with ARGI Kwa matumizi yafuatayo; kusafisha mfumo Wa damu kusafisha mfumo usagaji chakula asthma kisukari presha maumivu ya tumbo maumivu ya moyo kupunguza uzito kukosa hamu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nyumba inauzwa kongowe ina vyumba vitatu vya kulala na sting room danning room master room stoo jiko na ina eneo la ekari moja na limepimwa na lina hati miliki ni nyumba ya ukweli ina umeme na...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Heshima kwa wote wakuu!, Katika kuhangiaka kwangu na ukulima sasa nimeamua moja katika mapande niliyonayo nifanye ni sehemu ya kuweka kajibanda cha watoto na wajukuu panapomajaaliwa. Kitu kimoja...
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Kwa anayefahamu mahali zinauzwa pia anai pm wakuu..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza memory card ya 16gb( micro sd). Iko vizuri, haina tatizo lolote. Contact 0717301520, or whatsapp or pm. Nipo dar
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi all, nauza line ya uwakala tigopesa, serious buyer contact me, ni PM , Ipo chini ya super agent wa Dar, jina litabadilika baada ya wiki 2 na kuwa jina lako,...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Noah ya mwaka 2004 ainauzwa,imetembea takribani km 72,400 ..Imesajiliwa kwa namba T 784 CHR Ipo Dar es salaam....Ni mpya BEI NI 12.5 ML KWA MAWASILIANO 0786-79-18-79
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wa Dar es salaam, Baada ya maafa ya kuanguka kwa Ghorofa Indira Ghandh kulikosababishwa na uhafifu wa materials yaliyotumika kujengea, Nawatangazia kua ninazo Kokoto Imara, Nyeusi za Lugoba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyumba ya vyumba 10 ilimalizika kujengwa mwezi November mwaka jana inauzwa (ni miongoni mwa nyumba 36 zilizojengwa na serikali kwa ajili ya waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto).Ipo Kata ya...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Wandugu nina kiwanja 400 square meter tunauza kipo Toangoma kama uko interested tuwasiliane 0713251260 na 0683214464
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasalaaam wanaJF!! Nahitaji nyumba ya kupanga chumba kimoja na sebule, angalau maji yawe yanapatikana karibu kwan najua hilo ni tatizo kwa maeneo mengi hapa DSM kwa maeneo yafuatayo! Sinza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu hbr zenu natafuta madalali wa viwanja maeneo ya kimashuku moshi pls yyto anaemjua ani pm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama unahitaji Mitsubishi Diamante: Ipo inayouzwa kwa bei nafuu na pia maelewano yako. wasiliana kwa namba hizi: 0718044662 au 0754899189
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Laini ya uwakala wa tigo pesa inauzwa bei yake ni laki 6,kwa mawasiliano zaid 0682933868
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KUSHIRIKI MNADA HUU BOFYA KWENYE BIDHAA HUSIKA HAPA CHINI Latest auctions Samsung EH5000 LED TV(series5) 25 May, 2013 - 07:16...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
HONDA CRV, manual, use petrol, ful AC,five doors, bought direct from japan few years ago, ready paid everything,the car has had a complete new clutch, radiator, steering rack, suspension...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom