Za saa hizi wana jf,Kwa jina naitwa Nicholas kama inavyoonekana kwenye profile name yangu,mimi ni mfanyabiashara na mwanafunzi wa ifm mwaka wa mwisho katika fani ya sayansi ya computer. Kibiashara...
Kiwanja kinauzwa kipo barabara ya kutoka Visiga kwenda Bagamoyo!na pia ni kilometa 3 toka morogoro road!kipo visiga madafu kina ukubwa wa ekari 1!!bei sawa na bure!!!serious buyer only!!!ni pm...
Habari ndugu zangu,
mimi ni mfanyakazi wa taasisi, nimepangwa kuenda kufanya kazi mtwara. nimepata kapesa kidogo nataka nikifika nikae miezi 6 nitafute eneo zuri nijenge na ntajishughulisha na...
I have a client who is looking to purchase a plot in Upanga sector of minimum 2500SQM, his main requirement is that the land should be a square type and not rectangle, He may consider rectangular...
Kwema wakuu, kwa mara nyingine tena naleta kwenu PS2, bei ni 170,000, ina pad 1, ni dvd rome, dvd, cd na inatumia kadi pia, kwa wanaohitaji piga 0655361266, nipo Mwenge DSM
natafuta flat monitors used tatu bei isizidi laki moja per each. mwenye nazo anicheki pm au anitafute via 0717354243, unaweza piga, text au send whatsapp messeges.
Kiwanja kinauzwa bei naafuu kabisa.
Kipo Mafinga mjini -Pipeline -Majengo mapya.
Kina ukubwa wa nusu hekari 31 * 62 meters = 1922 sq meters.
Kimepimwa na kina hati miliki.
Pia kina...
Pikipiki tajwa hapo juu ambayo imetumika miezi 3 tu tokea inunuliwe dukani na hajawai kupata ajali inauzwa.
Bei ni. 1,750,000
Ipo Dar es salaam.
Mawasiliano kwa atakayehitaji:
0717577755 /...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.